Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Biriani la Ulaya
Bayern walifanikiwa hapa dhidi ya PSG
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

HIGH PRESSING AND COUNTER PRESSING ....

Bayern kwenye 3-1-5-1walikuwa bora sana kwa muda mwingi wa mchezo,lengo la kuingia hivyo kwanza ni kuhakikisha wanawakabia zaidi juu mabeki wa PSG wakati wa Build up pia kuwa na idadi nyingi kwenye zone yao.

Walifanikiwa kwa sehemu kubwa kwa sababu walipora mipira mingi kwenye eneo la PSG Sane,Goretzka,Musiala,Choupo-Moting walihakikisha safu ya mipira haifiki kwa Verrati,Neymar na Messi.

Wakipoteza mpira walifanya Counter pressing na kurudisha mpira haraka kwenye himaya yao.

Sielew kwanini Christopher Gultier aliamua kwenda na 4-4-2,tena akiwa nyumbani kwake wakati ana viungo wengi aliwaweka nje.

Messi na Neymar wakicheza double striker mbele ya mabeki watatu Upamecano,De Ligt na Pavard ilikuwa ngumu sana kwao kupenya ukizingatia mipira haifiki mbele.

Goli la Bayern linavuka upande mmoja kwenda mwingine Mendy anasahau kama nyuma yake kuna Coman anaweka kambani Poor Marking kwa PSG.

Kuingia kwa Mbappe,Luiz na Vitinha viliinua uhai wa PSG, lakini Bayern walikuwa na nidhamu kubwa kwenye kulinda goli lao.

Mechi ya tatu PSG anapoteza kwenye michuano yote

FT PSG 0 -1BAYERN

[ATTACH=full]1219[/ATTACH]

[QUOTE="Sports journalist, post: 3324, member: 622"] HIGH PRESSING AND COUNTER PRESSING .... Bayern kwenye 3-1-5-1walikuwa bora sana kwa muda mwingi wa mchezo,lengo la kuingia hivyo kwanza ni kuhakikisha wanawakabia zaidi juu mabeki wa PSG wakati wa Build up pia kuwa na idadi nyingi kwenye zone yao. Walifanikiwa kwa sehemu kubwa kwa sababu walipora mipira mingi kwenye eneo la PSG Sane,Goretzka,Musiala,Choupo-Moting walihakikisha safu ya mipira haifiki kwa Verrati,Neymar na Messi. Wakipoteza mpira walifanya Counter pressing na kurudisha mpira haraka kwenye himaya yao. Sielew kwanini Christopher Gultier aliamua kwenda na 4-4-2,tena akiwa nyumbani kwake wakati ana viungo wengi aliwaweka nje. Messi na Neymar wakicheza double striker mbele ya mabeki watatu Upamecano,De Ligt na Pavard ilikuwa ngumu sana kwao kupenya ukizingatia mipira haifiki mbele. Goli la Bayern linavuka upande mmoja kwenda mwingine Mendy anasahau kama nyuma yake kuna Coman anaweka kambani Poor Marking kwa PSG. Kuingia kwa Mbappe,Luiz na Vitinha viliinua uhai wa PSG, lakini Bayern walikuwa na nidhamu kubwa kwenye kulinda goli lao. Mechi ya tatu PSG anapoteza kwenye michuano yote FT PSG 0 -1BAYERN [ATTACH type="full"]1219[/ATTACH] [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Biriani la Ulaya
Bayern walifanikiwa hapa dhidi ya PSG
Top
Bottom