Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Biriani la Ulaya
Bayern wanastahili sifa zaidi kwa kuendelea kuzizidi timu nyingi bora barani Ulaya
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

Sergio ramos amewabeba sana psg kwenye kublock mashambulizi ya hatar..upo sahihi fundi

Kwa Gianluigi Donnarumma ilikuwa ni swala la mda Tu maana hata save aliyofanya kabla ni mwili wake Tu... Neymar Jr and Leo Messi upfront isn't productive since no runner like Mbappé. Impressed with Nuno Mendes second half performance....

Kocha wao Nau alianza na 3-5-2 ya Mariquinhos, Ramos na Kimpembe, Vitinha na Marco zen mbele yao Pulga ambae anakua na wawil yan Kyllian na Neymar then wings back wanakua Nuno na Achraf ilikua ni hatari sanaa walipoteza game 4 tuh mwaka mzima 2022

Ila ajabu sasa hivi game dhidi ya Lens kaenda na 4-5-1 the dhidi ya Marseille kaenda na 4-4-2 na dhidi ya Monnaco ivoo ivo na zote izo kaanza na selection za ajabu kama yule Ekitike na hata yule dogo mwenye 16 years old alotoka alikua anacheza pia kumpanga Danilo acheze na hata Soler

Nadhani anatakiwa astick na mfumo ule ule na selection iwe vile vile coz Marco na Vitinha wanazuia vizuri sana na ni good passer wote ukiplus Marco nae ni dribble anajua kuishinda press ya timu pinzanii

Neymar pia alikua ana press sana kipind ichoo kuliko wenzie hata leo kaonekana kukimbia mara kwa mara kuliko wenzie nazani Leo akicheza kama namba 10 zen mbele yake kuna hao jamaa wawil anakua hatari zaid kuliko pemben coz asa hiv hana kasi kama yule tunaemjua

Bayern wanastahili sifa zaidi kwa kuendelea kuzizidi timu nyingi bora barani Ulay Moja ya michezo bora

Timu kubwa na wanaweza kushinda CL msimu huu lakini chunga safu ya ulinzi dakika za mwisho zilikuwa ngumu!

Nafikiri Bayern walifanya vyema sana lakini sehemu ya mbele ilikuwa imekatika sana Sane, Musiala, Choupo, walihitaji kufanya vyema zaidi.

Utendaji mzuri kutoka kwa Coman, kwa kusukuma mashambulizi wanahitaji zaidi ya hayo, Uongozi mwembamba leo ungeweza kuwa sare lakini kwa ujumla mchezo uliochezwa vizuri.

Bayern panahitajika uboreshaji mwingi kwenye timu, Mbappe ni nguvu ya kuzingatia, mkondo wa pili hautakuja kirahisi, sio wakati wa kusherehekea ni wakati wakujipanga na kuboresha zaidi

Je, mashabiki wa bayern wakali wanafurahia Nagelsmann? Si kuuliza casuals bandwagon Uundaji huu wa mseto sio kweli njia ya Bayern sivyo? Daima inahusishwa Bayern na 4-2-3-1 Hii haijisikii kama Bayern ya zamani.

Yan sommer anahitaji kufanyia kazi baadhi ya pasi zake fupi, karibu atutolee.

Gnabry anahitaji kuimarika zaidi, tunatumai Mane atakuwa fiti kwa mkondo wa pili.

Kwa ujumla, mchezo mzuri kutoka kwa Bayern

[ATTACH=full]1218[/ATTACH]

[QUOTE="Nabi, post: 3323, member: 473"] Sergio ramos amewabeba sana psg kwenye kublock mashambulizi ya hatar..upo sahihi fundi🔥 Kwa Gianluigi Donnarumma ilikuwa ni swala la mda Tu maana hata save aliyofanya kabla ni mwili wake Tu... Neymar Jr and Leo Messi upfront isn't productive since no runner like Mbappé. Impressed with Nuno Mendes second half performance.... Kocha wao Nau alianza na 3-5-2 ya Mariquinhos, Ramos na Kimpembe, Vitinha na Marco zen mbele yao Pulga ambae anakua na wawil yan Kyllian na Neymar then wings back wanakua Nuno na Achraf ilikua ni hatari sanaa walipoteza game 4 tuh mwaka mzima 2022 Ila ajabu sasa hivi game dhidi ya Lens kaenda na 4-5-1 the dhidi ya Marseille kaenda na 4-4-2 na dhidi ya Monnaco ivoo ivo na zote izo kaanza na selection za ajabu kama yule Ekitike na hata yule dogo mwenye 16 years old alotoka alikua anacheza pia kumpanga Danilo acheze na hata Soler Nadhani anatakiwa astick na mfumo ule ule na selection iwe vile vile coz Marco na Vitinha wanazuia vizuri sana na ni good passer wote ukiplus Marco nae ni dribble anajua kuishinda press ya timu pinzanii Neymar pia alikua ana press sana kipind ichoo kuliko wenzie hata leo kaonekana kukimbia mara kwa mara kuliko wenzie nazani Leo akicheza kama namba 10 zen mbele yake kuna hao jamaa wawil anakua hatari zaid kuliko pemben coz asa hiv hana kasi kama yule tunaemjua Bayern wanastahili sifa zaidi kwa kuendelea kuzizidi timu nyingi bora barani Ulay Moja ya michezo bora ❤️ Timu kubwa na wanaweza kushinda CL msimu huu lakini chunga safu ya ulinzi dakika za mwisho zilikuwa ngumu! Nafikiri Bayern walifanya vyema sana lakini sehemu ya mbele ilikuwa imekatika sana Sane, Musiala, Choupo, walihitaji kufanya vyema zaidi. Utendaji mzuri kutoka kwa Coman, kwa kusukuma mashambulizi wanahitaji zaidi ya hayo, Uongozi mwembamba leo ungeweza kuwa sare lakini kwa ujumla mchezo uliochezwa vizuri. Bayern panahitajika uboreshaji mwingi kwenye timu, Mbappe ni nguvu ya kuzingatia, mkondo wa pili hautakuja kirahisi, sio wakati wa kusherehekea ni wakati wakujipanga na kuboresha zaidi Je, mashabiki wa bayern wakali wanafurahia Nagelsmann? Si kuuliza casuals bandwagon Uundaji huu wa mseto sio kweli njia ya Bayern sivyo? Daima inahusishwa Bayern na 4-2-3-1 Hii haijisikii kama Bayern ya zamani. Yan sommer anahitaji kufanyia kazi baadhi ya pasi zake fupi, karibu atutolee. Gnabry anahitaji kuimarika zaidi, tunatumai Mane atakuwa fiti kwa mkondo wa pili. Kwa ujumla, mchezo mzuri kutoka kwa Bayern [ATTACH type="full"]1218[/ATTACH] [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Biriani la Ulaya
Bayern wanastahili sifa zaidi kwa kuendelea kuzizidi timu nyingi bora barani Ulaya
Top
Bottom