Benzema.

Amir

Mgeni
Dec 10, 2021
736
12
5
tanzania

Benzema Hatiati Kuwakosa PSG.​

1234696588-850x560-1.webp

STAA wa Real Madrid, Karim Benzema huenda akaukosa mchezo Robo Fainali wa Copa del Rey na ule wa Hatua ya 16 Bora wa Ligi ya Mabingwa Ulaya dhidi ya PSG, baada ya kuumia wikiendi hii wakati wakicheza dhidi ya Elche.
Benzema aliumia katika mchezo huo ambao ulimazilika kwa sare ya 2-2 na nafasi yake ikachukuliwa na Luka Jovic.
Imeelezwa kuwa Benzema anatarajiwa kufanyiwa vipimo vya Ultrasound kesho Jumanne kujua tatizo lake lina
ukubwa kiasi gani. Taarifa zinaeleza kuwa nyota huyo atakuwa nje kwa siku 8 mpaka 10 na kwa maana hiyo
mchezo dhidi ya Bilbao wa Copa del Rey anaweza kukosekana au ule dhidi ya PSG.
Kwa maana hiyo, Madrid katika mchezo huo wa Copa del Rey itamkosa Benzema, Eder Militao, Vinicus Junior, Rodrygo Goes na Casemiro hawa watakuwa timu ya Taifa ya Brazil na watamkosa pia Federico Valverde (Uruguay) na nahodha wao Marcelo