Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Biriani la Ulaya
Benzema.
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

Benzema Hatiati Kuwakosa PSG.

STAA wa Real Madrid, Karim Benzema huenda akaukosa mchezo Robo Fainali wa Copa del Rey na ule wa Hatua ya 16 Bora wa Ligi ya Mabingwa Ulaya dhidi ya PSG, baada ya kuumia wikiendi hii wakati wakicheza dhidi ya Elche.

Benzema aliumia katika mchezo huo ambao ulimazilika kwa sare ya 2-2 na nafasi yake ikachukuliwa na Luka Jovic.

Imeelezwa kuwa Benzema anatarajiwa kufanyiwa vipimo vya Ultrasound kesho Jumanne kujua tatizo lake lina

ukubwa kiasi gani. Taarifa zinaeleza kuwa nyota huyo atakuwa nje kwa siku 8 mpaka 10 na kwa maana hiyo

mchezo dhidi ya Bilbao wa Copa del Rey anaweza kukosekana au ule dhidi ya PSG.

Kwa maana hiyo, Madrid katika mchezo huo wa Copa del Rey itamkosa Benzema, Eder Militao, Vinicus Junior, Rodrygo Goes na Casemiro hawa watakuwa timu ya Taifa ya Brazil na watamkosa pia Federico Valverde (Uruguay) na nahodha wao Marcelo

[QUOTE="Amir, post: 570, member: 20"] [HEADING=1]Benzema Hatiati Kuwakosa PSG.[/HEADING] [IMG]https://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2022/01/1234696588-850x560-1.webp[/IMG] STAA wa Real Madrid, Karim Benzema huenda akaukosa mchezo Robo Fainali wa Copa del Rey na ule wa Hatua ya 16 Bora wa Ligi ya Mabingwa Ulaya dhidi ya PSG, baada ya kuumia wikiendi hii wakati wakicheza dhidi ya Elche. Benzema aliumia katika mchezo huo ambao ulimazilika kwa sare ya 2-2 na nafasi yake ikachukuliwa na Luka Jovic. Imeelezwa kuwa Benzema anatarajiwa kufanyiwa vipimo vya Ultrasound kesho Jumanne kujua tatizo lake lina ukubwa kiasi gani. Taarifa zinaeleza kuwa nyota huyo atakuwa nje kwa siku 8 mpaka 10 na kwa maana hiyo mchezo dhidi ya Bilbao wa Copa del Rey anaweza kukosekana au ule dhidi ya PSG. Kwa maana hiyo, Madrid katika mchezo huo wa Copa del Rey itamkosa Benzema, Eder Militao, Vinicus Junior, Rodrygo Goes na Casemiro hawa watakuwa timu ya Taifa ya Brazil na watamkosa pia Federico Valverde (Uruguay) na nahodha wao Marcelo [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Biriani la Ulaya
Benzema.
Top
Bottom