Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Berkane yaeleza sababu Chama kuondoka.
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

[ATTACH=full]315[/ATTACH]

Klabu ya Berkane ya nchini Morocco imethibitisha kuondoka kwa mchezaji Clatous Chama ambaye alisaini mkataba wa miaka mitatu kuitumikia timu hiyo.

Berkane imesema Chama raia wa Zambia aliomba kuondoka kutokana na sababu mbalimbali ikiwemo familia, kushindwa kuendana na hali na maisha ya Morocco.

Chama ametambulishwa leo na klabu ya Simba ambayo aliitumikia kwa mafanikio makubwa ikiwemom kubeba mataji ya Ligi Kuu.

Berkane inayonolewa na kocha Florent Ibenge imemtakia heri na mafanikio Chama katika klabu yake ya Simba ambayo alitokea kwenda Morocco

[QUOTE="Amir, post: 401, member: 20"] [ATTACH type="full"]315[/ATTACH] Klabu ya Berkane ya nchini Morocco imethibitisha kuondoka kwa mchezaji Clatous Chama ambaye alisaini mkataba wa miaka mitatu kuitumikia timu hiyo. Berkane imesema Chama raia wa Zambia aliomba kuondoka kutokana na sababu mbalimbali ikiwemo familia, kushindwa kuendana na hali na maisha ya Morocco. Chama ametambulishwa leo na klabu ya Simba ambayo aliitumikia kwa mafanikio makubwa ikiwemom kubeba mataji ya Ligi Kuu. Berkane inayonolewa na kocha Florent Ibenge imemtakia heri na mafanikio Chama katika klabu yake ya Simba ambayo alitokea kwenda Morocco [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Berkane yaeleza sababu Chama kuondoka.
Top
Bottom