BODI YA LIGI YAUTIA KUFULI TENA MANUNGU COMPLEX

vuligate

Mgeni
Dec 17, 2021
395
3
5
BODI ya Ligi Kuu Tanzania Bara ya Shirikisho la Soka Tanzania (TPLB) imeufungia tena Uwanja wa Manungu Complex, uliopo Turiani, mkoani Morogoro baada ya mechi mbili tu tangu ufunguliwe.
 

Attachments

  • bodi.PNG
    bodi.PNG
    438.3 KB · Somwa: 0
  • ligi.PNG
    ligi.PNG
    155.9 KB · Somwa: 0