Bruno Fernandes

Kriss

Mgeni
Nov 4, 2022
102
138
5
Bruno Fernandes:

🗣️"Maneno peke yake hayatoshi kuelezea jinsi gani sote tulikuwa tunahisi baada ya mchezo kuisha jana. Ndoto yetu ilikufa licha ya jitihada zetu kujitahidi kuifanya itimie. Inahuzunisha na kuumiza kwa sababu kuiwakilisha nchi yetu kwetu ni zaidi ya soka tu.

🗣️"Licha ya kutupwa nje ya mashindano, ninajivunia kuwa Mreno na najivunia wote waliokuwa nami katika kuiwakilisha nchi yetu kwenye kombe la dunia.

🗣️"Pia, ningependa kuwapongeza timu ya taifa ya Morocco kwa mchezo mzuri na kufuzu hatua ya nusu fainali, kwa hakika walistahili."
17h
See translation