BUENOS AIRES AU PARIS, WAPI WATAKESHA KWA FURAHA? Goodbye World Cup 2022

Capitano

Mgeni
Nov 8, 2022
10
29
5
WORLD CUP FINAL, SIO TU FRANCE DHIDI YA ARGENTINA, NI LEONEL MESSI VS KYLIAN MBAPPE.

Bila shaka sio fainali rahisi kuitabiri kuwa nini kitatokea, maana timu hizi mbili zina vitu viwili ambavyo ni nguvu yao ya kujivunia na kila timu ipambane dhidi ya vya mpinzani wake ili kuweza kushinda ubingwa wa kombe la dunia pale Lusail Stadium, jijini DOHA, vitu hivyo ambavyo ni maajabu ya Leonel Messi kwa ARGENTINA na maajabu ya Didier Deschamps kwa FRANCE.

Labda umeshtuka, ni maajabu gani hayo Didier Deschamps?

Kitu ambacho amefanikiwa Didier Deschamps ni kuwa na plan za mchezo ambazo haziko wazi kwa wapinzani wake kiasi cha kuwa ngumu kudhibitiwa mchezoni, na pia zinampa uwezo wa kupata ushindi, pia Didier Deschamps amefanikiwa kuifanya FRANCE kushinda pasipo kumtegemea mchezaji mmoja, kwa mfano labda ingekuwa KYLIAN MBAPPE pekee, na hayo ndio maajabu ya Didier Deschamps.

Kutokuwa na plan za mchezo zilizo wazi kwa Didier Deschamps kumewafanya wapinzani wake kushindwa kumsoma kimbinu, na pia plan yake/zake inawezekana ndio zinafanya tusione FRANCE ikicheza huku ikiwa na mchezo wa kuvutia, lakini Didier Deschamps anachojua ni jinsi ya kupata ushindi.

Pia France ndio timu pekee nimeona iko well organized na iko vizuri sana kwenye time management(yaani jinsi ya kutumia muda), time management kwenye mechi kama hizi za kuamua (Yani decisive matches) ni vema sana kutumia vizuri muda wako mchezoni, vinginevyo utapoteza mchezo muda wowote ule.

ARGENTINA wawe makini sana na Kylian Mbappe, pia wamuangalie Olivier Giroud kwenye mipira ya juu, hususani kwenye mipira ya kutenga, mfano kona na mipira ya adhabu, lakini umakini zaidi uwepo kwenye benchi la ufundi la ARGENTINA chini ya kocha Leonel Scaloni, maana plan ya Didier Deschamps kwenye mechi iliyopita dhidi ya Morocco niliona Antoine Griezman akitumika kucheza kama mzuiaji zaidi kuliko tulivyomzoea kwenye majukumu ya kushambulia, hizi ndio mbinu zisionekana za Didier Deschamps.

G. O. A.T MAN (greatest of all time man), sio mwingine, ni LEONEL MESSI, ni jeshi la mtu mmoja, ni mchezaji ndani ya timu, lakini yeye ni timu pia, na timu ina mfumo, lakini Messi ni mfumo pia.

Messi ni silaha pekee inayotegemewa kuanzia Lusail stadium, DOHA nchini Qatar mpaka kule Rosario alikozaliwa super star huyu mwenye kipaji kikubwa sana, achilia mbali pale Buenos Aires nchini Argentina, nchi nzima inamtegemea Messi kushusha kombe la dunia nchini ARGENTINA, na karibia watu wa dunia nzima wanategemea hili kutokea.

Argentina ni imara sana kwa uwezo wa Messi tu, kitu ambacho ni udhaifu kwa uwezo wa timu kwa namna moja au nyingine, Maana ikiwa Messi atashindwa kufanya maajabu yake, basi Argentina inakuwa imeshindwa kama timu, lakini kushindwa kwa Messi sio rahisi, na ili kumzuia Messi, basi inabidi timu pinzani ifanye kazi mara dufu, ifanye kazi ya ziada.

France wana kazi kubwa sana ya kumdhibiti LEONEL MESSI, na pia wana kazi kubwa ya kuepuka kucheza faulo nje ya eneo lao la 18 yard (penalty box).

Kwa namna timu zilivyo, nategemea kuona zikianza Mchezo kwa spidi ya chini sana, na mbinu kubwa kwa Argentina itakuwa ni pasi za kuvunja mistari (break through passes) kitu ambacho kitawalazimu viungo wa France kufanya kazi ya ziada kuzuia hizi pasi.

Mbinu kubwa ya France itakuwa ni kucheza mipira ya juu kuelekea safu ya ulinzi ya Argentina, na kucheza kutumia pembeni kwa Mbappe na Dembele.
 
Rashidi

Mgeni
Dec 13, 2022
56
40

World Cup ya historia 🙌🙌🙌
 
  • Like
Reactions: Capitano