Bundesliga: Uzi maalumu wa matokeo, msimamo wa ligi, wafungaji n.k

Mkwavinyika

Administrator
Staff member
Dec 2, 2021
49
9
26
Dar es Salaam
Msimamo wa Ligi: Matokeo haya ni mubashara, yanabadilika jinsi mechi zinavyoendelea.



Mechi Zinazofuata: Matokeo haya ni mubashara, yanabadilika jinsi mechi zinavyoendelea.



Wafungaji bora wa Ligi: Matokeo haya ni mubashara, yanabadilika jinsi mechi zinavyoendelea.

 

Amir

Mgeni
Dec 10, 2021
736
12
5
tanzania
Baada ya kukaa nje ya uwanja kwa muda wa miezi miwili kutokana na kusumbuliwa na maambukizi ya virusi vya COVID-19, hatimaye Joshua Kimmich amerejea mazoezini tayari kwa mechi zijazo za Fc Bayern Munich.
Great to see him back!
1641370212978.png
 

Amir

Mgeni
Dec 10, 2021
736
12
5
tanzania
FT: Bayern 1-2 Mönchengladbach
Bayern wamepoteza mechi tatu katika mechi zao sita za mwisho za Bundesliga dhidi ya Mönchengladbach
🥴

Mikeka vipi?
😅

1641633675892.png
 

Amir

Mgeni
Dec 10, 2021
736
12
5
tanzania
Kwenye mchezo wa Bundesliga hii leo kati ya wenyeji Fc Bayern Munich dhidi ya Bayer Leverkusen, Corner Flag
🚩
zimewekwa bendera ya Ukraine
🇺🇦
kama ishara ya kupinga vita inayoendelea nchini humo
275222086_5159798897413352_4572893689833587746_n.jpg
275169195_5159798904080018_8249161775595076949_n.jpg