Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Biriani la Ulaya
Buriani Pelé
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

Kijana wa ki brazili aliecheza Mpira wa miguu,kandanda,soka,kwa mafanikio makubwa ulimwenguni ambayo mpaka sasa hayaja fikiwa na Mchezaji yoyote.

Gwiji wa Mpira wa Miguu Edson Arantes do Nascimento (Pelé) kama wengi mnavyomtambua aliefanya watu waupende Mpira wa miguu “icon of the Football”Leo tarehe 29 December 2022 amefariki Dunia.

Pele,ambaye ana rekodi ya kufunga magoli 77 katika mechi 92, amekuwa nembo ya mpira wa miguu baada ya kufanikiwa kutwaa taji la kombe la dunia mwaka 1958 akiwa na miaka 17.

Anashikilia rekodi ya kuwa mchezaji pekee ya kushinda kombe la Dunia mara tatu (3).

Habari kutoka Brazil ambapo alikuwa amelazwa katika hospitali imesema kuwa mfalme huyo wa soka amefariki Dunia leo Alhamisi Disemba 29, 2022 .

Pele ambaye ni moja wa wachezaji Bora kabisa katika historia ya soka aliripotiwa kushindwa kuendelea na matibabu ya chemotherapy katika pambano yake dhidi ya saratani ya tumbo ambayo iligunduliwa mnamo Septemba 2021.

Pumzika kwa amani Gwiji wa Mpira Hakika Familia ya mpira wa Miguu imepata pigo kubwa sana.

Rest in peace Legend.!

[QUOTE="kidudumtujr, post: 2628, member: 572"] Kijana wa ki brazili aliecheza Mpira wa miguu,kandanda,soka,kwa mafanikio makubwa ulimwenguni ambayo mpaka sasa hayaja fikiwa na Mchezaji yoyote. Gwiji wa Mpira wa Miguu Edson Arantes do Nascimento (Pelé) kama wengi mnavyomtambua aliefanya watu waupende Mpira wa miguu “icon of the Football”Leo tarehe 29 December 2022 amefariki Dunia. Pele,ambaye ana rekodi ya kufunga magoli 77 katika mechi 92, amekuwa nembo ya mpira wa miguu baada ya kufanikiwa kutwaa taji la kombe la dunia mwaka 1958 akiwa na miaka 17. Anashikilia rekodi ya kuwa mchezaji pekee ya kushinda kombe la Dunia mara tatu (3). Habari kutoka Brazil ambapo alikuwa amelazwa katika hospitali imesema kuwa mfalme huyo wa soka amefariki Dunia leo Alhamisi Disemba 29, 2022 . Pele ambaye ni moja wa wachezaji Bora kabisa katika historia ya soka aliripotiwa kushindwa kuendelea na matibabu ya chemotherapy katika pambano yake dhidi ya saratani ya tumbo ambayo iligunduliwa mnamo Septemba 2021. Pumzika kwa amani Gwiji wa Mpira Hakika Familia ya mpira wa Miguu imepata pigo kubwa sana. Rest in peace Legend.! [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Biriani la Ulaya
Buriani Pelé
Top
Bottom