Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Chama Atamfukuzisha Kazi Gamondi Yanga
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

Gamondi ni Kocha mkubwa na anao uzoefu wa kufanya kazi na wachezaji wakubwa,siku zote sisi makocha kwenye timu huwa kuna mchezaji huwa anakuwa kipenzi chako kwakuwa anafanya kitu cha ziada,anatumia akili zaidi hata ya maarifa ya mwalimu,na anakuwa na nidhamu,utajikuta unampenda.

“Sasa kwa Yanga wanao wachezaji wenye vipaji,na wanacheza kwenye maeneo yanayofanana,Gamondi anapaswa asioneshe mapenzi kwa mchezaji anayempe da,atengeneze mpango wa kuwatumia vizuri Aziz Ki,Pacome Zouzoua na Clatous Chama”

“iwapo kuna mmoja atakosa nafasi anaweza kumshushia mmoja kiwango kwa kukosa fitness halafu akajenga chuki kwa Kocha,na hawa Wachezaji wazuri mara nyingi ni vipenzi kwa Viongozi, anaweza kumchongea halafu Gamondi akawa wa kwanza kuondoka”Charles Boniface Mkwasa Kocha na mchezaji wa zamani wa Yanga!

[QUOTE="Mshua, post: 6403, member: 2315"] Gamondi ni Kocha mkubwa na anao uzoefu wa kufanya kazi na wachezaji wakubwa,siku zote sisi makocha kwenye timu huwa kuna mchezaji huwa anakuwa kipenzi chako kwakuwa anafanya kitu cha ziada,anatumia akili zaidi hata ya maarifa ya mwalimu,na anakuwa na nidhamu,utajikuta unampenda. “Sasa kwa Yanga wanao wachezaji wenye vipaji,na wanacheza kwenye maeneo yanayofanana,Gamondi anapaswa asioneshe mapenzi kwa mchezaji anayempe da,atengeneze mpango wa kuwatumia vizuri Aziz Ki,Pacome Zouzoua na Clatous Chama” “iwapo kuna mmoja atakosa nafasi anaweza kumshushia mmoja kiwango kwa kukosa fitness halafu akajenga chuki kwa Kocha,na hawa Wachezaji wazuri mara nyingi ni vipenzi kwa Viongozi, anaweza kumchongea halafu Gamondi akawa wa kwanza kuondoka”Charles Boniface Mkwasa Kocha na mchezaji wa zamani wa Yanga! [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Chama Atamfukuzisha Kazi Gamondi Yanga
Top
Bottom