Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
CHAMA NA AZIZI K KUFUNGIWA MICHEZO MITATU
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

Mchezaji wa Simba, Clatous Chama na Stephane Aziz K wa Yanga wamefungiwa michezo mitatu ya LIGI na faini ya Sh 500, 000 (laki tano).

Sababu za kufungiwa wachezaji hao ni kutokana na kosa la kukwepa kusalimiana na wachezaji wa timu pinzani katika mchezo wa Yanga na Simba uliochzwa Oktoba 23 2022 katika Uwanja wa Benjamin Mkapa. ambao mechi hiyo ilimalizika kwa 1-1

Adhabu hiyo ni kwa mujibu wa uzingativu wa kanuni 41:5 (5.4) ya LIGI kuu kuhusu uthibiti kwa wachezaji baada ya kamati ya uendeshaji na usimamizi wa Ligi ya Bodi ya Ligi Kuu Bara (TPLB) katika kikao cha Novemba 4 kupitia mwenendo wa matukio mbalimbali.

[ATTACH=full]454[/ATTACH]

[QUOTE="Brenda, post: 1690, member: 464"] Mchezaji wa Simba, Clatous Chama na Stephane Aziz K wa Yanga wamefungiwa michezo mitatu ya LIGI na faini ya Sh 500, 000 (laki tano). Sababu za kufungiwa wachezaji hao ni kutokana na kosa la kukwepa kusalimiana na wachezaji wa timu pinzani katika mchezo wa Yanga na Simba uliochzwa Oktoba 23 2022 katika Uwanja wa Benjamin Mkapa. ambao mechi hiyo ilimalizika kwa 1-1 Adhabu hiyo ni kwa mujibu wa uzingativu wa kanuni 41:5 (5.4) ya LIGI kuu kuhusu uthibiti kwa wachezaji baada ya kamati ya uendeshaji na usimamizi wa Ligi ya Bodi ya Ligi Kuu Bara (TPLB) katika kikao cha Novemba 4 kupitia mwenendo wa matukio mbalimbali. [ATTACH type="full"]454[/ATTACH] [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
CHAMA NA AZIZI K KUFUNGIWA MICHEZO MITATU
Top
Bottom