Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Biriani la Ulaya
CHELSEA YATINGA FAINALI CARABAO CUP
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

JOTA AIPELEKA LIVERPOOL FAINALI CARABAO CUP.

MABAO ya Diogo Jota dakika ya 19 na 77 yameipa Liverpool ushindi wa 2-0 wa dhidi ya wenyeji, Arsenal katika mchezo wa marudiano wa Nusu Fainali ya Kombe la Ligi England usiku wa Alhamisi Uwanja wa Emirates Jijini London.

Jota alifunga mabao hayo Nara zote akimalizia kazi nzuri za Trent Alexander-Arnold na kufuatia sare ya 0-0 kwenye mechi ya kwanza Anfield wiki iliyopita, wanakwenda fainali ya Carabao Cup na watakutana na Chelsea Februari 27 Uwanja wa Wembley Jijini London.

Kwa mara nyingine kocha Jurgen Klopp alikuwa mwenye bahati baada ya wapinzani kumaliza pungufu kufuatia Thomas Partey kutolewa kwa kadi nyekundu dakika ya 90, yaani dakika 16 tangu aingie kuchukua nafasi ya Emile Smith Rowe.

[QUOTE="Amir, post: 469, member: 20"] [HEADING=2]JOTA AIPELEKA LIVERPOOL FAINALI CARABAO CUP.[/HEADING] [IMG]https://blogger.googleusercontent.com/img/a/AVvXsEgiXP1g3SE9YanQNgzYQE0mYb9rEhtRa6dn2gE3ltZ63ZNvvOcj1xSkvebiONCa2cUz7B_3_t6-xznfST_UsAALWkz408B5tJxKFYl6AIWtC-t70mVY5PIZKFd4u8uGkmNu8sGeBuAfCFz6AixxUf4F426WMQKztP2q9bBkXutga-8sQYqePbxWKxAO=w640-h426[/IMG] MABAO ya Diogo Jota dakika ya 19 na 77 yameipa Liverpool ushindi wa 2-0 wa dhidi ya wenyeji, Arsenal katika mchezo wa marudiano wa Nusu Fainali ya Kombe la Ligi England usiku wa Alhamisi Uwanja wa Emirates Jijini London. Jota alifunga mabao hayo Nara zote akimalizia kazi nzuri za Trent Alexander-Arnold na kufuatia sare ya 0-0 kwenye mechi ya kwanza Anfield wiki iliyopita, wanakwenda fainali ya Carabao Cup na watakutana na Chelsea Februari 27 Uwanja wa Wembley Jijini London. Kwa mara nyingine kocha Jurgen Klopp alikuwa mwenye bahati baada ya wapinzani kumaliza pungufu kufuatia Thomas Partey kutolewa kwa kadi nyekundu dakika ya 90, yaani dakika 16 tangu aingie kuchukua nafasi ya Emile Smith Rowe. [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Biriani la Ulaya
CHELSEA YATINGA FAINALI CARABAO CUP
Top
Bottom