Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Biriani la Ulaya
CHELSEA
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

Tuchel amtetea Kepa

LONDON ENGLAND. KOCHA wa Chelsea, Thomas Tuchel ametetea uamuzi wa kumwingiza kipa Kepa Arrizabalaga makusudi kwa ajili ya tukio la kupigiana penalti kwenye fainali ya Kombe la Ligi dhidi ya Liverpool uwanjani Wembley juzi Jumapili.

Baada ya dakika 120 bila ya bao, pambano hilo la kibabe lililazimika kuingia kwenye tukio la kupigiana penalti, ndipo Kepa, ambaye aliingia kuchukua nafasi ya Edouardo Mendy, kushindwa kudaka mkwaju wowote, hadi hapo na yeye alipokuja kukosa wa kwake, akiiponza Chelsea kubeba ubingwa huo mara tisa, ikiibwaga The Blues kwa penalti 11-10.

Kepa, aliitumia Chelsea katika kila dakika ya kombe hilo hadi hapo fainali, alipompisha Mendy na baadaye kuingizwa dakika chache kabla ya tukio la kupigiana penalti. Mechi hiyo ilikuwa ya kibabe kwelikweli, mabao manne yakikataliwa na VAR.

Kocha Tuchel alisema: “Tunajisikia vibaya sana kwa ajili yake. Inauma kwamba ni yeye pekee ndiye aliyekosa penalti, lakini hatumlaumu. Nimefanya maamuzi niliyofanya, siwezi kutoa hukumu kwa sababu nafahamu kilichotokea. Hatujui kingetokea nini kama tungemwaacha Edou golini. Hatumlaumu Kepa. Lawama zote nipewe mimi, ndiye niliyefanya uamuzi. Wakati mwingine haya mambo yanatiki, wakati mwingine yanagoma. Hivyo ndivyo yalivyo maisha ya makocha kwenye soka.”

Tuchel alitumia mbinu zilezile alizotumia kwenye fainali ya European Super Cup, Agosti mwaka jana, ambapo Kepa aliingia uwanjani kuisaidia Chelsea kuichapa Villarreal na alisema: ìLazima tukibali viwango vya wapinzani wetu. Liverpool ni moja ya timu hatari sana kwa kushambulia Ulaya. Kukaba kule tulikokaba, kucheza kule tulikocheza, nimefarijika. Hatuna tunachojutia.î

Liverpool wao wamenasa taji la kwanza kati ya nne wanayoshindania msimu huu.

Kipindi cha kwanza kilikuwa cha kibabe kama ilivyokuwa kwenye kipindi cha pili na kwenye dakika 30 za nyongeza, huku VAR ikiweka rekodi ya kugomea mabao manne katika mchezo huo, likiwa na straika Romelu Lukaku, ambalo liliibua mjadala kwenye mitandao ya kijamii, mashabiki wakilalamikia uchoraji wa mistari inayoonyesha mtu aliyeoa kuwa iliyokuwa ya kimchongo na The Blues imenyima bao lale.

Dakika 120 zilikwisha na nyavu za miamba hiyo zilikuwa hazikutishwa kabla ya kushuhudia mikwaju 21 ya penalti ikitinga wavuni, Liverpool wakifunga 11 na Chelsea 10.

[QUOTE="mhariri, post: 1113, member: 122"] [HEADING=1]Tuchel amtetea Kepa[/HEADING] [IMG alt="Kepa PIC"]https://www.mwanaspoti.co.tz/resource/image/3733232/landscape_ratio16x9/1160/652/89c5314fd8fbaacbc05034bd306c1258/sC/kepa-pic.jpg[/IMG] [B]LONDON ENGLAND. [/B]KOCHA wa Chelsea, Thomas Tuchel ametetea uamuzi wa kumwingiza kipa Kepa Arrizabalaga makusudi kwa ajili ya tukio la kupigiana penalti kwenye fainali ya Kombe la Ligi dhidi ya Liverpool uwanjani Wembley juzi Jumapili. Baada ya dakika 120 bila ya bao, pambano hilo la kibabe lililazimika kuingia kwenye tukio la kupigiana penalti, ndipo Kepa, ambaye aliingia kuchukua nafasi ya Edouardo Mendy, kushindwa kudaka mkwaju wowote, hadi hapo na yeye alipokuja kukosa wa kwake, akiiponza Chelsea kubeba ubingwa huo mara tisa, ikiibwaga The Blues kwa penalti 11-10. Kepa, aliitumia Chelsea katika kila dakika ya kombe hilo hadi hapo fainali, alipompisha Mendy na baadaye kuingizwa dakika chache kabla ya tukio la kupigiana penalti. Mechi hiyo ilikuwa ya kibabe kwelikweli, mabao manne yakikataliwa na VAR. Kocha Tuchel alisema: “Tunajisikia vibaya sana kwa ajili yake. Inauma kwamba ni yeye pekee ndiye aliyekosa penalti, lakini hatumlaumu. Nimefanya maamuzi niliyofanya, siwezi kutoa hukumu kwa sababu nafahamu kilichotokea. Hatujui kingetokea nini kama tungemwaacha Edou golini. Hatumlaumu Kepa. Lawama zote nipewe mimi, ndiye niliyefanya uamuzi. Wakati mwingine haya mambo yanatiki, wakati mwingine yanagoma. Hivyo ndivyo yalivyo maisha ya makocha kwenye soka.” Tuchel alitumia mbinu zilezile alizotumia kwenye fainali ya European Super Cup, Agosti mwaka jana, ambapo Kepa aliingia uwanjani kuisaidia Chelsea kuichapa Villarreal na alisema: ìLazima tukibali viwango vya wapinzani wetu. Liverpool ni moja ya timu hatari sana kwa kushambulia Ulaya. Kukaba kule tulikokaba, kucheza kule tulikocheza, nimefarijika. Hatuna tunachojutia.î Liverpool wao wamenasa taji la kwanza kati ya nne wanayoshindania msimu huu. Kipindi cha kwanza kilikuwa cha kibabe kama ilivyokuwa kwenye kipindi cha pili na kwenye dakika 30 za nyongeza, huku VAR ikiweka rekodi ya kugomea mabao manne katika mchezo huo, likiwa na straika Romelu Lukaku, ambalo liliibua mjadala kwenye mitandao ya kijamii, mashabiki wakilalamikia uchoraji wa mistari inayoonyesha mtu aliyeoa kuwa iliyokuwa ya kimchongo na The Blues imenyima bao lale. Dakika 120 zilikwisha na nyavu za miamba hiyo zilikuwa hazikutishwa kabla ya kushuhudia mikwaju 21 ya penalti ikitinga wavuni, Liverpool wakifunga 11 na Chelsea 10. [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Biriani la Ulaya
CHELSEA
Top
Bottom