Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Biriani la Ulaya
CHELSEA
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

Lukaku si bure, kuna mkono wa mtu

LONDON, ENGLAND. GUMZO la sasa huko Stamford Bridge ni jina la straika Romelu Lukaku.

Kocha Thomas Tuchel hana namna zaidi ya kumuweka tu benchi mshambuliaji huyo hata kwenye mechi muhimu za Chelsea ikiwamo fainali ya Kombe la Ligi iliyopigwa juzi Jumapili na The Blues kuchapwa na Liverpool kwa penalti 11-10. Shida ilianzia kwa Lukaku kugusa mpira mara saba tu kwa dakika 90 katika mechi ya Ligi Kuu England dhidi ya Crystal Palace.

Kwa jambo hilo, Lukaku aliweka rekodi akiwa mchezaji aliyegusa mpira mara chache kwa dakika 90 tangu takwimu zilipoanza kukusanywa na Opta msimu wa 2003/04.

Kocha Tuchel alisema: “Hiki si kitu tunachokitaka wala Romelu anachokitaka, lakini pia sio muda wa kumcheka na kumkejeli.”

Katika mchezo wa juzi wa fainali ya Kombe la Ligi, Lukaku aliingizwa dakika 74 kuchukua nafasi ya Mason Mount, lakini kuanzia benchi kwenye mechi hiyo ni kitu kinachozua mjadala mkubwa hasa kwa mshambuliaji huyo aliyesajiliwa kwa pesa nyingi, Pauni 97.5 milioni dirisha la uhamisho wa majira ya kiangazi mwaka jana akitokea Inter Milan.

Lakini, unaambiwa hivi, Crystal Palace ndio kiboko ya kuwafanya washambuliaji waguse mipira mara chache baada ya kumfanyia hivyo Jamie Vardy wa Leicester City mara mbili tofauti ambapo Aprili 28, 2018, Crystal Palace ilimbana Vardy na kumfanya aguse mpira mara tisa tu kwa dakika 90, huku Oktoba 3, 2021 ilimbana tena na kumfanya aguse mara 10 tu, kabla ya kumfanyia hivyo Lukaku, Februari 19, 2022 ilipomfanya aguse mpira mara saba tu. Balaa hilo.

Hata hivyo, ishu ya Lukaku kugusa mpira mara saba kwenye mechi ya dakika 90 ni mwendelezo tu wa maisha magumu ya mshambuliaji huyo huko Stamford Bridge.

Wiki kadhaa nyuma supastaa huyo wa Kibelgiji alilazimika kuomba radhi kwa mashabiki wa Chelsea baada ya mahojiano na televisheni moja huko Italia, kwamba alidaiwa kukosoa mbinu za Tuchel huku akidaiwa kuwa na mpango wa kurudi Inter. Hata hivyo, Lukaku alisema ametafsiriwa vibaya.

Wachambuzi wa masuala ya soka wanadai kwamba kinachomtokea Lukaku kwa sasa huko Chelsea ni mwendelezo tu wa bahati mbaya zinazowakumbuka washambuliaji wanaokwenda kukipiga kwenye kikosi hicho cha Stamford Bridge.

Hii ni awamu ya pili kwa Lukaku kurudi Chelsea, mara yake ya kwanza ilikuwa kwenye msimu wa 2011/12, ambapo alicheza mechi nane, saba akitokea benchi kwenye rekodi za Ligi Kuu England na hakufunga bao lolote katika mechi hizo kabla ya kupelekwa kwa mkopo West Brom, kisha Everton, ambapo baadaye aliuzwa jumla na kuichezea pia Manchester United kwenye Ligi Kuu England, ambapo alifunga mabao 28 katika mechi 66, mechi 11 akitokea benchi.

Kwa kipindi cha miaka ya karibuni, unaambiwa hivi washambuliaji wa Chelsea wamekuwa wakikumbana na wakati mgumu kwelikweli.

Wanasema dungu hasa linaanzia kwenye jezi Namba 9. Mastaa kibao waliowahi kuvaa jezi yenye namba hiyo hawakutoboa Stamford Bridge, kuanzia kwa Chris Sutton, aliyefunga bao moja kwenye mechi 39, Mateja Kezman mabao saba katika mechi 41, Khalid Boulahrouz mabao sifuri katika mechi 20, Steve Sidwell bao moja kwenye mechi 25, Franco Di Santo mabao sifuri katika mechi 16, Gonzalo Higuain mabao matano katika mechi 18, Alvaro Morata mabao 16 katika mechi 48, Radamel Falcao bao moja kwenye mechi 12 na Fernando Torres mabao 45 kwenye mechi 172. Tammy Abraham naye yalimkuta alipokuwa na jezi hiyo na sasa anafanya mambo yake huko AS Roma. Cheki hapa kile walichofanya washambuliaji wenye majina makubwa huko Chelsea kwenye mechi zao za Ligi Kuu England.

Romelu Lukaku (2021-22) - mabao 5, mechi 17

Lukaku si mchezaji mgeni Ligi Kuu England. Rekodi zake zinasoma amecheza mechi 269, amefunga mabao 118 na kuasisti mara 35. Lakini, kwa msimu huu amecheza mechi 17 na kufunga mabao matano. Katika mechi hizo, Chelsea imeshinda mara 10 na kupoteza tatu akiwa ndani ya uwanja. Mabao yake mawili amefunga kwa mguu wa kulia, mawili kichwa na moja mguu wa kushoto. Mambo yake si mazuri akipambana kumshawishi kocha Tuchel ampe nafasi mbele ya Kai Havertz.

Andriy Shevchenko (2006-09) - mabao 9, mechi 48

Supastaa wa Ukraine, Andriy Shevchenko wakati anakipiga AC Milan alikuwa moto wa kuotea mbali. Huduma yake ndani ya uwanjani ilikuwa balaa zito kiasi cha kumshawishi bilionea wa Russia, mmiliki wa Chelsea, Roman Abramovich kuamua kufungua pochi ili kunasa saini yake akakipige huko Stamford Bridge. Baada ya kuvaa uzi wa The Blues tu, kama kawaida majanga ya washambuliaji kwenye kikosi cha Chelsea yaliendelea, ambapo aliishia kufunga mabao tisa katika mechi 48 alizotumikia timu hiyo kwenye ligi. Mambo hayakwenda.

Fernando Torres (2011-15) - mabao 20, mechi 110

Bilionea Roman Abramovich baada ya kumwona Fernando Torres akifanya mambo yake huko Anfield alipokuwa na kikosi cha Liverpool aliona si mbaya akimvuta akakipige kwenye timu yake huko Stamford Bridge. Kwenye hilo, alifungua pochi na kunasa saini ya Mhispaniola huyo kwa ada ya Pauni 50 milioni kwenye dirisha la Januari. Lakini, baada ya kutua Chelsea, Torres ni kama vile alisahau buti zake za kufungia mabao alizisahau huko Anfield, ambapo aliishia kufunga mabao 20 kwenye mechi 110 alizocheza kwenye ligi akiwa na uzi wa The Blues.

Radamel Falcao (2015-16) - bao 1, mechi 10

Kuna ambaye hamfahamu Radamel Falcao? Kama hajawahi kucheza dhidi yake, kumwona mubashara au kwenye luninga, basi atakuwa amemsikia. Straika huyo wa Colombia alikuwa moto kwelikweli ndani ya uwanjani. Huduma yake huko Atletico Madrid iliwafanya AS Monaco kulipa pesa nyingi sana kunasa saini yake. Lakini, mambo hayakuwa mambo alipotua kwa mkopo huko Stamford Bridge, ambapo alicheza mechi 10 za Ligi Kuu England na kufunga bao moja tu. Straika wa aina ya Falcao kufunga bao moja mechi 10 si kitu cha mzaha.

Alvaro Morata (2017-20) - mabao 16, mechi 47

Straika Alvaro Morata alitamba Real Madrid. Juventus wakampenda wakamsajili. Mambo yake matamu huko Serie A, yaliwafanya Real Madrid kumrudisha tena kwenye kikosi chao kwa sababu waliweka kipengele cha kumnunua tena mshambuliaji huyo wakati wanamuuza kwenda Juventus. Baada ya Antonio Conte kutua Chelsea, alihitaji huduma ya Morata na hapo akaenda kunasa kwa ada karibu Pauni 60 milioni. Alipotua Stamford Bridge kila kitu kilitibuka, alifunga mabao 16 katika mechi 47 kwenye ligi na matokeo yake akatolewa kwa mkopo.

Gonzalo Higuain (2019) - mabao 5, mechi 14

Samaki hafundishwi kuogelea ndicho ambacho ungeweza kusema kuhusu Muargentina Gonzalo Higuain kwenye suala la kusukumbia mipira nyavuni. Staa huyo wa zamani wa Real Madrid goli analifahamu vizuri kwelikweli na ndiyo maana baada ya kupiga kazi ya maana huko Napoli, Juventus walipendezwa na kwenda kumsajili kwa pesa ndefu. Baadaye mambo hayakuwa mazuri akijikuta akitolewa kwa mkopo na kuibukia Chelsea, ambapo alifunga mabao matano katika mechi 14 alizocheza kwa ligi. Ulikuwa usajili wa Maurizio Sarri huko Stamford Bridge.

[QUOTE="mhariri, post: 1132, member: 122"] [HEADING=1]Lukaku si bure, kuna mkono wa mtu[/HEADING] [IMG alt="lukaku pic"]https://www.mwanaspoti.co.tz/resource/blob/3734532/b60507bc27bd6c808b3e12909eb7d025/lukaku-pic-data.jpg[/IMG] [B]LONDON, ENGLAND. [/B]GUMZO la sasa huko Stamford Bridge ni jina la straika Romelu Lukaku. Kocha Thomas Tuchel hana namna zaidi ya kumuweka tu benchi mshambuliaji huyo hata kwenye mechi muhimu za Chelsea ikiwamo fainali ya Kombe la Ligi iliyopigwa juzi Jumapili na The Blues kuchapwa na Liverpool kwa penalti 11-10. Shida ilianzia kwa Lukaku kugusa mpira mara saba tu kwa dakika 90 katika mechi ya Ligi Kuu England dhidi ya Crystal Palace. Kwa jambo hilo, Lukaku aliweka rekodi akiwa mchezaji aliyegusa mpira mara chache kwa dakika 90 tangu takwimu zilipoanza kukusanywa na Opta msimu wa 2003/04. Kocha Tuchel alisema: “Hiki si kitu tunachokitaka wala Romelu anachokitaka, lakini pia sio muda wa kumcheka na kumkejeli.” Katika mchezo wa juzi wa fainali ya Kombe la Ligi, Lukaku aliingizwa dakika 74 kuchukua nafasi ya Mason Mount, lakini kuanzia benchi kwenye mechi hiyo ni kitu kinachozua mjadala mkubwa hasa kwa mshambuliaji huyo aliyesajiliwa kwa pesa nyingi, Pauni 97.5 milioni dirisha la uhamisho wa majira ya kiangazi mwaka jana akitokea Inter Milan. Lakini, unaambiwa hivi, Crystal Palace ndio kiboko ya kuwafanya washambuliaji waguse mipira mara chache baada ya kumfanyia hivyo Jamie Vardy wa Leicester City mara mbili tofauti ambapo Aprili 28, 2018, Crystal Palace ilimbana Vardy na kumfanya aguse mpira mara tisa tu kwa dakika 90, huku Oktoba 3, 2021 ilimbana tena na kumfanya aguse mara 10 tu, kabla ya kumfanyia hivyo Lukaku, Februari 19, 2022 ilipomfanya aguse mpira mara saba tu. Balaa hilo. Hata hivyo, ishu ya Lukaku kugusa mpira mara saba kwenye mechi ya dakika 90 ni mwendelezo tu wa maisha magumu ya mshambuliaji huyo huko Stamford Bridge. Wiki kadhaa nyuma supastaa huyo wa Kibelgiji alilazimika kuomba radhi kwa mashabiki wa Chelsea baada ya mahojiano na televisheni moja huko Italia, kwamba alidaiwa kukosoa mbinu za Tuchel huku akidaiwa kuwa na mpango wa kurudi Inter. Hata hivyo, Lukaku alisema ametafsiriwa vibaya. Wachambuzi wa masuala ya soka wanadai kwamba kinachomtokea Lukaku kwa sasa huko Chelsea ni mwendelezo tu wa bahati mbaya zinazowakumbuka washambuliaji wanaokwenda kukipiga kwenye kikosi hicho cha Stamford Bridge. Hii ni awamu ya pili kwa Lukaku kurudi Chelsea, mara yake ya kwanza ilikuwa kwenye msimu wa 2011/12, ambapo alicheza mechi nane, saba akitokea benchi kwenye rekodi za Ligi Kuu England na hakufunga bao lolote katika mechi hizo kabla ya kupelekwa kwa mkopo West Brom, kisha Everton, ambapo baadaye aliuzwa jumla na kuichezea pia Manchester United kwenye Ligi Kuu England, ambapo alifunga mabao 28 katika mechi 66, mechi 11 akitokea benchi. Kwa kipindi cha miaka ya karibuni, unaambiwa hivi washambuliaji wa Chelsea wamekuwa wakikumbana na wakati mgumu kwelikweli. Wanasema dungu hasa linaanzia kwenye jezi Namba 9. Mastaa kibao waliowahi kuvaa jezi yenye namba hiyo hawakutoboa Stamford Bridge, kuanzia kwa Chris Sutton, aliyefunga bao moja kwenye mechi 39, Mateja Kezman mabao saba katika mechi 41, Khalid Boulahrouz mabao sifuri katika mechi 20, Steve Sidwell bao moja kwenye mechi 25, Franco Di Santo mabao sifuri katika mechi 16, Gonzalo Higuain mabao matano katika mechi 18, Alvaro Morata mabao 16 katika mechi 48, Radamel Falcao bao moja kwenye mechi 12 na Fernando Torres mabao 45 kwenye mechi 172. Tammy Abraham naye yalimkuta alipokuwa na jezi hiyo na sasa anafanya mambo yake huko AS Roma. Cheki hapa kile walichofanya washambuliaji wenye majina makubwa huko Chelsea kwenye mechi zao za Ligi Kuu England. [B]Romelu Lukaku (2021-22) - mabao 5, mechi 17[/B] Lukaku si mchezaji mgeni Ligi Kuu England. Rekodi zake zinasoma amecheza mechi 269, amefunga mabao 118 na kuasisti mara 35. Lakini, kwa msimu huu amecheza mechi 17 na kufunga mabao matano. Katika mechi hizo, Chelsea imeshinda mara 10 na kupoteza tatu akiwa ndani ya uwanja. Mabao yake mawili amefunga kwa mguu wa kulia, mawili kichwa na moja mguu wa kushoto. Mambo yake si mazuri akipambana kumshawishi kocha Tuchel ampe nafasi mbele ya Kai Havertz. [B]Andriy Shevchenko (2006-09) - mabao 9, mechi 48[/B] Supastaa wa Ukraine, Andriy Shevchenko wakati anakipiga AC Milan alikuwa moto wa kuotea mbali. Huduma yake ndani ya uwanjani ilikuwa balaa zito kiasi cha kumshawishi bilionea wa Russia, mmiliki wa Chelsea, Roman Abramovich kuamua kufungua pochi ili kunasa saini yake akakipige huko Stamford Bridge. Baada ya kuvaa uzi wa The Blues tu, kama kawaida majanga ya washambuliaji kwenye kikosi cha Chelsea yaliendelea, ambapo aliishia kufunga mabao tisa katika mechi 48 alizotumikia timu hiyo kwenye ligi. Mambo hayakwenda. [B]Fernando Torres (2011-15) - mabao 20, mechi 110[/B] Bilionea Roman Abramovich baada ya kumwona Fernando Torres akifanya mambo yake huko Anfield alipokuwa na kikosi cha Liverpool aliona si mbaya akimvuta akakipige kwenye timu yake huko Stamford Bridge. Kwenye hilo, alifungua pochi na kunasa saini ya Mhispaniola huyo kwa ada ya Pauni 50 milioni kwenye dirisha la Januari. Lakini, baada ya kutua Chelsea, Torres ni kama vile alisahau buti zake za kufungia mabao alizisahau huko Anfield, ambapo aliishia kufunga mabao 20 kwenye mechi 110 alizocheza kwenye ligi akiwa na uzi wa The Blues. [B]Radamel Falcao (2015-16) - bao 1, mechi 10[/B] Kuna ambaye hamfahamu Radamel Falcao? Kama hajawahi kucheza dhidi yake, kumwona mubashara au kwenye luninga, basi atakuwa amemsikia. Straika huyo wa Colombia alikuwa moto kwelikweli ndani ya uwanjani. Huduma yake huko Atletico Madrid iliwafanya AS Monaco kulipa pesa nyingi sana kunasa saini yake. Lakini, mambo hayakuwa mambo alipotua kwa mkopo huko Stamford Bridge, ambapo alicheza mechi 10 za Ligi Kuu England na kufunga bao moja tu. Straika wa aina ya Falcao kufunga bao moja mechi 10 si kitu cha mzaha. [B]Alvaro Morata (2017-20) - mabao 16, mechi 47[/B] Straika Alvaro Morata alitamba Real Madrid. Juventus wakampenda wakamsajili. Mambo yake matamu huko Serie A, yaliwafanya Real Madrid kumrudisha tena kwenye kikosi chao kwa sababu waliweka kipengele cha kumnunua tena mshambuliaji huyo wakati wanamuuza kwenda Juventus. Baada ya Antonio Conte kutua Chelsea, alihitaji huduma ya Morata na hapo akaenda kunasa kwa ada karibu Pauni 60 milioni. Alipotua Stamford Bridge kila kitu kilitibuka, alifunga mabao 16 katika mechi 47 kwenye ligi na matokeo yake akatolewa kwa mkopo. [B]Gonzalo Higuain (2019) - mabao 5, mechi 14[/B] Samaki hafundishwi kuogelea ndicho ambacho ungeweza kusema kuhusu Muargentina Gonzalo Higuain kwenye suala la kusukumbia mipira nyavuni. Staa huyo wa zamani wa Real Madrid goli analifahamu vizuri kwelikweli na ndiyo maana baada ya kupiga kazi ya maana huko Napoli, Juventus walipendezwa na kwenda kumsajili kwa pesa ndefu. Baadaye mambo hayakuwa mazuri akijikuta akitolewa kwa mkopo na kuibukia Chelsea, ambapo alifunga mabao matano katika mechi 14 alizocheza kwa ligi. Ulikuwa usajili wa Maurizio Sarri huko Stamford Bridge. [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Biriani la Ulaya
CHELSEA
Top
Bottom