Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Biriani la Ulaya
CHELSEA
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

ABRAMOVICH AIWEKA SOKONI CHELSEA DOLA BILIONI 3

VYOMBO vya habari Uingereza vimeripoti kwamba bilionea Mrusi, Roman Abramovich mmiliki wa Chelsea anaiuza klabu hiyo.

Bilionea wa Kiswiss, Hansjorg Wyss yupo kwenye nafasi nzuri ya kuinunua dhidi ya mabilionea wa Marekani kwa dau la dola za Kimarekani Bilioni 3.

Roman Abramovich anatafuta mnunuzi wa haraka wa klabu hiyo baada ya kuwekewa vikwazo vingi kufuatia majeshi yanchi yake, Urusi kuvamia na kuishambulia Ukraine kwa wiki ya pili sasa.

Taarifa zaidi zinasema Bilione huyo aliyeanza kuimiliki mwaka 2003 anauza pia na majengo na mali zake nyingine Uingereza kuepuka kutaifishwa.

Abramovich ameweza zaidi ya dola Bilioni 2 tangu ainunue Chelsea na kuifanya kuwa moja ya klabu kubwa Ulaya na yenye mafanikio zaidi England ikitwaa mataji 19 chini yake na ndio mabingwa wa sasa wa Klabu Bingwa ya Dunia ya FIFA.

[QUOTE="Amir, post: 1140, member: 20"] [HEADING=2]ABRAMOVICH AIWEKA SOKONI CHELSEA DOLA BILIONI 3[/HEADING] [IMG]https://blogger.googleusercontent.com/img/a/AVvXsEiJfm7KjfZZ92nzOFdq_hGCwfwKy_E-lWYx27dah5ZZnhXDocFBn8KJdZFZgOEnbGM-Ty7ejSEK06rmUIdrtoxLpTZjX6R91RRTucAi2G4mdgvd8iBZqxEkwoQhf42bugdbcIlqFzCKAZ92Yu3FXOWOaPvkjbQG0QpH55fccyWYbvLtHWFnbn4Mkaiw=w640-h520[/IMG] VYOMBO vya habari Uingereza vimeripoti kwamba bilionea Mrusi, Roman Abramovich mmiliki wa Chelsea anaiuza klabu hiyo. Bilionea wa Kiswiss, Hansjorg Wyss yupo kwenye nafasi nzuri ya kuinunua dhidi ya mabilionea wa Marekani kwa dau la dola za Kimarekani Bilioni 3. Roman Abramovich anatafuta mnunuzi wa haraka wa klabu hiyo baada ya kuwekewa vikwazo vingi kufuatia majeshi yanchi yake, Urusi kuvamia na kuishambulia Ukraine kwa wiki ya pili sasa. Taarifa zaidi zinasema Bilione huyo aliyeanza kuimiliki mwaka 2003 anauza pia na majengo na mali zake nyingine Uingereza kuepuka kutaifishwa. Abramovich ameweza zaidi ya dola Bilioni 2 tangu ainunue Chelsea na kuifanya kuwa moja ya klabu kubwa Ulaya na yenye mafanikio zaidi England ikitwaa mataji 19 chini yake na ndio mabingwa wa sasa wa Klabu Bingwa ya Dunia ya FIFA. [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Biriani la Ulaya
CHELSEA
Top
Bottom