Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Biriani la Ulaya
CHELSEA
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

Chelsea Yapigwa Kitanzi

Mzozo wa kivita baina ya Urusi na Ukraine umechukua mkondo mwingine ambao una madhara ya kusikitisha kwa timu ya kandanda ya Chelsea ambayo mmiliki wake ni bilionea kutokea nchini Urusi Roman Abrahamovic anayetajwa na Uingereza kuwa mmoja wa wawezeshaji wakuu wa sera za rais Vladmir Putin.

Mataifa mbalimbali barani Ulaya yanazidi kuiwekea Urusi vikwanzo vikali vya kidiplomasia na kibiashara kwa kile wanachokitaja kwamba ni taifa hilo kukiuka tahadhari za kiusalama na kuivamia Ukraine.

Uingereza pia imemuwekea mmiliki huyo wa Chelsea vikwazo vingi ambavyo moja kwa moja vinaiathiri timu ya Chelsea na shughuli nyingi timuni humo zinatarajiwa kusambaratika huku wadhamini mbalimbali wakijiondoa na wengine kusitisha mikataba yao na timu hiyo ambayo ndio mabingwa wa dunia kwa sasa.

Baadhi ya vikwazo ambavyo serikali ya Uingereza imemuwekea Abrahamovic na ambavyo vina athari hasi kwa timu ya Chelsea ni kuhusu hisa za timu hiyo, uhamisho wa wachezaji ambapo hakutakuwa tena kutia mikataba mipya na wachezaji katika timu hiyo, tiketi za mechi hazitauzwa wala kununuliwa, timu haitaweza kununua wachezaji wapya na pia mmiliki huyo hatoweza kuiuza timu hiyo isipokuwa aishawishi Uingereza kuwa yeye na Urusi hawatofaidi kitu chochote kutoka kwa uuzwaji wa timu hiyo.

Kipengee kingine katika marufuku hiyo kinasema kwamba Abrahamovic ataweza tu kuiza timu hiyo kama ataikubalia Uingereza kuingilia kati na kuwa mmoja wa washikadau wa kuipiga mnada timu ya Chelsea.

Kufikia Alhamis, tayari kampuni ya Uingereza ya Three ilitangaza kukatisha mkataba wa ushirikiano baina ya timu hiyo na kutaka nembo yao kuondolewa kwenye jezi za timu hiyo huku ikisemekana walikuwa wamekaribia makubaliano ya kuongeza mkataba wa miaka miwili na timu hiyo kabla ya mzozo nchini Ukraine.

Mapema wiki iliyopita mmiliki huyo alikuwa amefikia uamuzi wa kuiuza timu hiyo kutokana na marufuku yake aliyokabidhiwa dhidi ya kuingia Uingereza kwa kile mamlaka yqa taifa hilo ilimtaka kuwa mmoja wa wawezeshaji wakubwa wa sera hasi za rais wa Urusi Vladmir Putin.

[QUOTE="mhariri, post: 1229, member: 122"] [HEADING=1]Chelsea Yapigwa Kitanzi[/HEADING] [IMG]https://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2022/03/newslite1646977615824.jpg[/IMG] Mzozo wa kivita baina ya Urusi na Ukraine umechukua mkondo mwingine ambao una madhara ya kusikitisha kwa timu ya kandanda ya Chelsea ambayo mmiliki wake ni bilionea kutokea nchini Urusi Roman Abrahamovic anayetajwa na Uingereza kuwa mmoja wa wawezeshaji wakuu wa sera za rais Vladmir Putin. Mataifa mbalimbali barani Ulaya yanazidi kuiwekea Urusi vikwanzo vikali vya kidiplomasia na kibiashara kwa kile wanachokitaja kwamba ni taifa hilo kukiuka tahadhari za kiusalama na kuivamia Ukraine. Uingereza pia imemuwekea mmiliki huyo wa Chelsea vikwazo vingi ambavyo moja kwa moja vinaiathiri timu ya Chelsea na shughuli nyingi timuni humo zinatarajiwa kusambaratika huku wadhamini mbalimbali wakijiondoa na wengine kusitisha mikataba yao na timu hiyo ambayo ndio mabingwa wa dunia kwa sasa. Baadhi ya vikwazo ambavyo serikali ya Uingereza imemuwekea Abrahamovic na ambavyo vina athari hasi kwa timu ya Chelsea ni kuhusu hisa za timu hiyo, uhamisho wa wachezaji ambapo hakutakuwa tena kutia mikataba mipya na wachezaji katika timu hiyo, tiketi za mechi hazitauzwa wala kununuliwa, timu haitaweza kununua wachezaji wapya na pia mmiliki huyo hatoweza kuiuza timu hiyo isipokuwa aishawishi Uingereza kuwa yeye na Urusi hawatofaidi kitu chochote kutoka kwa uuzwaji wa timu hiyo. Kipengee kingine katika marufuku hiyo kinasema kwamba Abrahamovic ataweza tu kuiza timu hiyo kama ataikubalia Uingereza kuingilia kati na kuwa mmoja wa washikadau wa kuipiga mnada timu ya Chelsea. Kufikia Alhamis, tayari kampuni ya Uingereza ya Three ilitangaza kukatisha mkataba wa ushirikiano baina ya timu hiyo na kutaka nembo yao kuondolewa kwenye jezi za timu hiyo huku ikisemekana walikuwa wamekaribia makubaliano ya kuongeza mkataba wa miaka miwili na timu hiyo kabla ya mzozo nchini Ukraine. Mapema wiki iliyopita mmiliki huyo alikuwa amefikia uamuzi wa kuiuza timu hiyo kutokana na marufuku yake aliyokabidhiwa dhidi ya kuingia Uingereza kwa kile mamlaka yqa taifa hilo ilimtaka kuwa mmoja wa wawezeshaji wakubwa wa sera hasi za rais wa Urusi Vladmir Putin. [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Biriani la Ulaya
CHELSEA
Top
Bottom