Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Biriani la Ulaya
CHELSEA
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

CHELSEA YALAZIMISHWA SARE 2-2 NA WOLVES

WENYEJI, Chelsea wamelazimishwa sare ya 2-2 na Wolverhampton Wanderers katika mchezo wa Ligi Kuu ya England usiku wa Jumamosi Uwanja wa Stamford Bridge Jijini London.

Mabao ya Chelsea yamefungwa na

Romelu Lukaku kwa penalti dakika ya 56 na 58 akimalizia pasi ya Christian Pulisic, wakati ya Wolves yamefungwa na Trincão dakika ya 79 na Conor Coady dakika ya 90 na ushei.

Kwa sare hiyo, Chelsea inafikisha pointi 67 mechi ya 35, ingawa inabaki nafasi ya tatu, wakati Wolves imefikisha pointi 50 katika mechi ya 35 pia nafasi ya nane.

[QUOTE="vuligate, post: 1462, member: 123"] [HEADING=2]CHELSEA YALAZIMISHWA SARE 2-2 NA WOLVES[/HEADING] [URL='https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhmbtaYBpoze5ajnHyMCmdjN_f0gCgKr_mdUjw_X_6D8Q6bWIbiwgSLXUapQ3E1XxlOh74ejOLSSNn55Dt6dzCv3R9yjhOsp2aSGQ3kEB1hJm7Wn9_-coJuARHlMuQd1IFgdGXKaTamojiIgn5EndYyUNZ5e2LgE5SPVCX7Yv2H22jgj98ayCyb-2R-/s962/CHELSEA.jpg'][IMG]https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhmbtaYBpoze5ajnHyMCmdjN_f0gCgKr_mdUjw_X_6D8Q6bWIbiwgSLXUapQ3E1XxlOh74ejOLSSNn55Dt6dzCv3R9yjhOsp2aSGQ3kEB1hJm7Wn9_-coJuARHlMuQd1IFgdGXKaTamojiIgn5EndYyUNZ5e2LgE5SPVCX7Yv2H22jgj98ayCyb-2R-/w640-h430/CHELSEA.jpg[/IMG][/URL] WENYEJI, Chelsea wamelazimishwa sare ya 2-2 na Wolverhampton Wanderers katika mchezo wa Ligi Kuu ya England usiku wa Jumamosi Uwanja wa Stamford Bridge Jijini London. Mabao ya Chelsea yamefungwa na Romelu Lukaku kwa penalti dakika ya 56 na 58 akimalizia pasi ya Christian Pulisic, wakati ya Wolves yamefungwa na Trincão dakika ya 79 na Conor Coady dakika ya 90 na ushei. Kwa sare hiyo, Chelsea inafikisha pointi 67 mechi ya 35, ingawa inabaki nafasi ya tatu, wakati Wolves imefikisha pointi 50 katika mechi ya 35 pia nafasi ya nane. [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Biriani la Ulaya
CHELSEA
Top
Bottom