Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Biriani la Ulaya
CHELSEA
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

CHELSEA YAILIMA SPURS 2-0 DARAJANI.

MABAO ya Hakim Ziyech dakika ya 47 na Thiago Silva dakika ya 55, yameipa Chelsea ushindi wa 2-0 dhidi ya Tottenham Hotspur katika mchezo wa Ligi Kuu ya England usiku was Jumapili Uwanja wa Stamford Bridge Jijini London.

Chelsea inafikisha pointi 47 katika mchezo wa 24, ingawa inabaki nafasi ya tatu ikizidiwa pointi moja na Liverpool ambayo pia ina mechi mbili mkononi, wakati Spurs inabaki na pointi zake 36 za mechi 20 katika nafasi ya saba.

[QUOTE="Amir, post: 518, member: 20"] [HEADING=2]CHELSEA YAILIMA SPURS 2-0 DARAJANI.[/HEADING] [IMG]https://blogger.googleusercontent.com/img/a/AVvXsEiRd5j8ShnPrBcRzSo8BnqO7JxT-3E6bbjNFAuaZdflIlCKTWrHoMjgVBRxHXBPMpX1IaEtCJl7uaewgZiGEEw2dgkgtQKZcANNABuKzCO2ecmYlM2wOR9R8lEOFr364OeJDGCuFC0MXHDnr3wGE0OJWK5m4PxkOiO4EeBGEUhcD1n5YVVdDeNPc3G6=w640-h458[/IMG] MABAO ya Hakim Ziyech dakika ya 47 na Thiago Silva dakika ya 55, yameipa Chelsea ushindi wa 2-0 dhidi ya Tottenham Hotspur katika mchezo wa Ligi Kuu ya England usiku was Jumapili Uwanja wa Stamford Bridge Jijini London. Chelsea inafikisha pointi 47 katika mchezo wa 24, ingawa inabaki nafasi ya tatu ikizidiwa pointi moja na Liverpool ambayo pia ina mechi mbili mkononi, wakati Spurs inabaki na pointi zake 36 za mechi 20 katika nafasi ya saba. [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Biriani la Ulaya
CHELSEA
Top
Bottom