Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Chilunda bado ana jambo na Wahispania
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

[ATTACH=full]283[/ATTACH]

Unguja. MSHAMBULIAJI wa Azam FC, Shaaban Chilunda bado ana machungu na klabu ya Tenerife ya Hispania akisema mabosi wa timu yake hiyo ya zamani ndio waliomharibia dili la timu mbili zilizokuwa zikimuhitaji.

Akizungumza na gazeti hili Chilunda alisema kuwa baada ya mambo kwenda hovyo nchini Hispania alipata ofa za timu mbili nchini Misri na moja ya timu iliyomuhitaji ni ile anayoichezea Himid Mao ya Ghazl El Mahalla SC yenye maskani yake huko El Mahalla El Kubra.

Alisema kuwa hali iliyokuwepo kati yake na waajiri wake hao wa zamani ndiyo iliyosababisha avunje mkataba wake ambapo alipeleka malalamiko yake kwenye Shirikisho la Soka la Kimataifa (Fifa) ili asaidiwe kupata barua ya kuachwa.

Alisema kuwa alikuwa tayari kuacha pesa anayodai na kikubwa alichokuwa anakipigania ni hiyo barua pekee ili akacheze katika moja ya timu mbili alizokuwa amepewa ofa.

“Nilichowaambia wao wanipe barua tu, maana hata stahiki zangu nilikuwa sipati tofauti na mkataba ulivyokuwa ukieleza, niliona ni vyema nikatafute maisha sehemu nyingine lakini siwezi kuondoka pasipo kupewa batua ya kuniacha huru.

“Hilo ndilo jambo lililonifanya sasa niende Fifa ili waone namna gani ya kunisaidia maana mwanzo nilitaka barua tu ya kuthibitisha kuwa nipo huru lakini baadaye walijua kuwa nimepata timu sehemu nyingine ambako sasa walikwenda kuharibu mipango na hao wakawa na hofu tena ya kunisajili.

“Nilipoona wameniharibia basi nilirudi Fifa kufungua kesi ya madai ya stahiki zangu ambazo ni pesa ninazowadai, sijalipwa hadi sasa ila naamini nitalipwa maana ni haki yangu. Kiukweli hali hiyo iliniondoa mchezoni hivyo niliamua kurudi nyumbani kupumzisha akili,” alisema.

Alisema baada ya kufika nyumbani timu pekee aliyoona inamfaa ni Azam FC kwa kile alichoeleza kuwa; “Nimelelewa na hii timu, ni timu ya maisha yangu na ninaifahamu vizuri hivyo sijaona wapi niende zaidi ya hapa wakati nasubiri mipango mingine.

“Naamini nitafanikiwa tena kucheza soka la kulipwa, sijakata tamaa juu ya hilo maana moja ya timu ambazo zilinipa ofa hiyo ni hii anayoichezea Himid na nilikuwa tayari kabisa kucheza soka huko,” alisema

Kuhusu mwenendo wa timu yao, Chilunda alisema kwa kusaidiana na wachezaji wenzake anaamini wataivusha Azam FC hapo ilipo na kuwa timu bora zaidi ingawa matokeo yao ya sasa hayawafurahishi.

[QUOTE="Amir, post: 375, member: 20"] [ATTACH type="full"]283[/ATTACH] [B]Unguja.[/B] MSHAMBULIAJI wa Azam FC, Shaaban Chilunda bado ana machungu na klabu ya Tenerife ya Hispania akisema mabosi wa timu yake hiyo ya zamani ndio waliomharibia dili la timu mbili zilizokuwa zikimuhitaji. Akizungumza na gazeti hili Chilunda alisema kuwa baada ya mambo kwenda hovyo nchini Hispania alipata ofa za timu mbili nchini Misri na moja ya timu iliyomuhitaji ni ile anayoichezea Himid Mao ya Ghazl El Mahalla SC yenye maskani yake huko El Mahalla El Kubra. Alisema kuwa hali iliyokuwepo kati yake na waajiri wake hao wa zamani ndiyo iliyosababisha avunje mkataba wake ambapo alipeleka malalamiko yake kwenye Shirikisho la Soka la Kimataifa (Fifa) ili asaidiwe kupata barua ya kuachwa. Alisema kuwa alikuwa tayari kuacha pesa anayodai na kikubwa alichokuwa anakipigania ni hiyo barua pekee ili akacheze katika moja ya timu mbili alizokuwa amepewa ofa. “Nilichowaambia wao wanipe barua tu, maana hata stahiki zangu nilikuwa sipati tofauti na mkataba ulivyokuwa ukieleza, niliona ni vyema nikatafute maisha sehemu nyingine lakini siwezi kuondoka pasipo kupewa batua ya kuniacha huru. “Hilo ndilo jambo lililonifanya sasa niende Fifa ili waone namna gani ya kunisaidia maana mwanzo nilitaka barua tu ya kuthibitisha kuwa nipo huru lakini baadaye walijua kuwa nimepata timu sehemu nyingine ambako sasa walikwenda kuharibu mipango na hao wakawa na hofu tena ya kunisajili. “Nilipoona wameniharibia basi nilirudi Fifa kufungua kesi ya madai ya stahiki zangu ambazo ni pesa ninazowadai, sijalipwa hadi sasa ila naamini nitalipwa maana ni haki yangu. Kiukweli hali hiyo iliniondoa mchezoni hivyo niliamua kurudi nyumbani kupumzisha akili,” alisema. Alisema baada ya kufika nyumbani timu pekee aliyoona inamfaa ni Azam FC kwa kile alichoeleza kuwa; “Nimelelewa na hii timu, ni timu ya maisha yangu na ninaifahamu vizuri hivyo sijaona wapi niende zaidi ya hapa wakati nasubiri mipango mingine. “Naamini nitafanikiwa tena kucheza soka la kulipwa, sijakata tamaa juu ya hilo maana moja ya timu ambazo zilinipa ofa hiyo ni hii anayoichezea Himid na nilikuwa tayari kabisa kucheza soka huko,” alisema Kuhusu mwenendo wa timu yao, Chilunda alisema kwa kusaidiana na wachezaji wenzake anaamini wataivusha Azam FC hapo ilipo na kuwa timu bora zaidi ingawa matokeo yao ya sasa hayawafurahishi. [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Chilunda bado ana jambo na Wahispania
Top
Bottom