Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
CHIPUKIZI MWINGINE MTANZANIA ASAJILIWA LIGI YA ISRAEL.
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

MSHAMBULIAJI CHIPUKIZI Mtanzania, Omary Ally Marungu amesajiliwa na klabu ya

Hapoel Kfar Saba FC ya Israel kutoka Mtibwa Sugar ya Morogoro.

Mchezaji huyo aliyeng'ara katika ligi ya vijana ya U20 msimu uliopita akiiwezesha Mtibwa Sugar kutwaa ubingwa amesajiliwa na klabu hiyo ya Daraja la Kwanza Israel, ijulikanayo kama

Liga Leumit baada ya kufuzu majaribio aliyofanya kuanzia mapema mwezi huu.

Anakuwa Mtanzania mwingine kucheza Israel kwa sasa baada ya kiungo Novatus Dismas Miroshi, anayecheza teams: Beitar Tel Aviv Bat Yam FC ya Liga Leumit pia kwa mkopo kutoka 2021 Maccabi Tel Aviv aliyojiunga nayo mwaka jana kutoka Azam FC ya Dar es Salaam.

[QUOTE="vuligate, post: 143, member: 123"] MSHAMBULIAJI CHIPUKIZI Mtanzania, Omary Ally Marungu amesajiliwa na klabu ya Hapoel Kfar Saba FC ya Israel kutoka Mtibwa Sugar ya Morogoro. Mchezaji huyo aliyeng'ara katika ligi ya vijana ya U20 msimu uliopita akiiwezesha Mtibwa Sugar kutwaa ubingwa amesajiliwa na klabu hiyo ya Daraja la Kwanza Israel, ijulikanayo kama Liga Leumit baada ya kufuzu majaribio aliyofanya kuanzia mapema mwezi huu. Anakuwa Mtanzania mwingine kucheza Israel kwa sasa baada ya kiungo Novatus Dismas Miroshi, anayecheza teams: Beitar Tel Aviv Bat Yam FC ya Liga Leumit pia kwa mkopo kutoka 2021 Maccabi Tel Aviv aliyojiunga nayo mwaka jana kutoka Azam FC ya Dar es Salaam. [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
CHIPUKIZI MWINGINE MTANZANIA ASAJILIWA LIGI YA ISRAEL.
Top
Bottom