Christiano Ronaldo

vuligate

Mgeni
Dec 17, 2021
395
3
5
Sanamu jipya la Cristiano Ronaldo lilijengwa huko Goa, India
🇮🇳
ili kuwafanya vijana wa nchi wachangamkie fursa ya soka na kuwapa moyo kuwa hata wao wanaweza kufanikiwa kwenye sekta ya mpira.
1641550482920.png