Christopher Nkuku atakosekana kombe la dunia.

Brenda

Mgeni
Oct 31, 2022
489
403
5
Dar es salaam
Christopher Nkuku atakosekana kwenye michezo ya kombe la dunia baada yakupata majeraha akiwa kwenye uwanja wa mazoezi hapo jana, akiwa na wenzake kwenye maandalizi ya mchezo inayofuata. 61397797-EAF5-4CAC-981E-FE1E472D971F.jpeg