City walicheza exactly Spurs walivyotaka

Zawadi

Mgeni
Nov 4, 2022
41
17
5
City walicheza exactly Spurs walivyotaka, " Chaos Football" kila kitu walifanya kwa haraka badala ya patience na Spurs ukiwapa nafasi ya counter attacks they are good na walitengeneza counter attacks nzuri sana

Pep atakuwa anapenda pace, ball striking na unpredictability ya Alvarez shida ni kwamba hawezi kumuweka nje Haaland na Alvarez kwenye syestem ya 3-2-2-3 City wakiwa na mpira na yeye anakuwa mmoja wa namba 10 wawili anakosa ufanisi ... na nini pia City wakosa ?

Verticality: Rodri na Lewis wakiwa na mpira option yao ya pasi ya mbele ni Silva tu coz anajua mahitaji ya namba 10 matokeo yake Lewis na Rodri walipiga sana square passes sehemu ambazo Spurs wapo salama ( Wingbacks areas)

Spurs wamezuia vizuri. Kwenye soka tunasema ukizuia vizuri mipira ya crosses na cutbacks basi kwa asilimia nyingi sana upo salama : BACK 5 yote ya Spurs walikuwa hodari
Haaland bila huduma ni kama City wapo pungufu na Romero beki mzuri sana sema anatakiwa kupunguza kuwa aggressive sana sio kila mpira anatakiwa kuushinda yeye . Rodri ile pasi kwa Lewis alikuwa anafikiria nini ? Kamuweka kijana kwenye presha isiyo ya lazima
Spurs 1-0 Man city

Ambangile ✍🏽✍🏽