Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Biriani la Ulaya
City walicheza exactly Spurs walivyotaka
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

City walicheza exactly Spurs walivyotaka, " Chaos Football" kila kitu walifanya kwa haraka badala ya patience na Spurs ukiwapa nafasi ya counter attacks they are good na walitengeneza counter attacks nzuri sana

Pep atakuwa anapenda pace, ball striking na unpredictability ya Alvarez shida ni kwamba hawezi kumuweka nje Haaland na Alvarez kwenye syestem ya 3-2-2-3 City wakiwa na mpira na yeye anakuwa mmoja wa namba 10 wawili anakosa ufanisi ... na nini pia City wakosa ?

Verticality: Rodri na Lewis wakiwa na mpira option yao ya pasi ya mbele ni Silva tu coz anajua mahitaji ya namba 10 matokeo yake Lewis na Rodri walipiga sana square passes sehemu ambazo Spurs wapo salama ( Wingbacks areas)

Spurs wamezuia vizuri. Kwenye soka tunasema ukizuia vizuri mipira ya crosses na cutbacks basi kwa asilimia nyingi sana upo salama : BACK 5 yote ya Spurs walikuwa hodari

Haaland bila huduma ni kama City wapo pungufu na Romero beki mzuri sana sema anatakiwa kupunguza kuwa aggressive sana sio kila mpira anatakiwa kuushinda yeye . Rodri ile pasi kwa Lewis alikuwa anafikiria nini ? Kamuweka kijana kwenye presha isiyo ya lazima

Spurs 1-0 Man city

Ambangile

[QUOTE="Zawadi, post: 3182, member: 469"] City walicheza exactly Spurs walivyotaka, " Chaos Football" kila kitu walifanya kwa haraka badala ya patience na Spurs ukiwapa nafasi ya counter attacks they are good na walitengeneza counter attacks nzuri sana Pep atakuwa anapenda pace, ball striking na unpredictability ya Alvarez shida ni kwamba hawezi kumuweka nje Haaland na Alvarez kwenye syestem ya 3-2-2-3 City wakiwa na mpira na yeye anakuwa mmoja wa namba 10 wawili anakosa ufanisi ... na nini pia City wakosa ? Verticality: Rodri na Lewis wakiwa na mpira option yao ya pasi ya mbele ni Silva tu coz anajua mahitaji ya namba 10 matokeo yake Lewis na Rodri walipiga sana square passes sehemu ambazo Spurs wapo salama ( Wingbacks areas) Spurs wamezuia vizuri. Kwenye soka tunasema ukizuia vizuri mipira ya crosses na cutbacks basi kwa asilimia nyingi sana upo salama : BACK 5 yote ya Spurs walikuwa hodari Haaland bila huduma ni kama City wapo pungufu na Romero beki mzuri sana sema anatakiwa kupunguza kuwa aggressive sana sio kila mpira anatakiwa kuushinda yeye . Rodri ile pasi kwa Lewis alikuwa anafikiria nini ? Kamuweka kijana kwenye presha isiyo ya lazima Spurs 1-0 Man city Ambangile ✍🏽✍🏽 [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Biriani la Ulaya
City walicheza exactly Spurs walivyotaka
Top
Bottom