Club ya Manchester United inapigwa bei

Nabi

Mgeni
Nov 4, 2022
121
124
5
Baada ya maombi ya muda mrefu ya Mashabiki wa Manchester United juu ya Wamiliki wa timu hiyo ambao ni familia ya Glazers waiuze timu hiyo, hatimae Glazers wapo tayari kusikiliza ofa ili kuipiga bei timu hiyo yenye idadi kubwa ya Mashabiki duniani.
 
Brenda

Mgeni
Oct 31, 2022
489
403
5
Dar es salaam
Baada ya maombi ya muda mrefu ya Mashabiki wa Manchester United juu ya Wamiliki wa timu hiyo ambao ni familia ya Glazers waiuze timu hiyo, hatimae Glazers wapo tayari kusikiliza ofa ili kuipiga bei timu hiyo yenye idadi kubwa ya Mashabiki duniani.
tunawataka waarabu