Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Biriani la Ulaya
Cody Gakpo Ndani Ya Liverpool ✍🏿
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

Unawaza kama Mimi Kuhusu Cody Gakpo.

Ukiangalia Kwa makini tunaweza gongana Mawazo kuhusuana na Nafasi ya gakpo pale Liverpool Kwa kuangalia Mkataba Mrefu aliopatiwa na umri wake.Gapko anaweza kuwa mrithi wa Roberto firmino hapo Baadae.

Unakumbuka firmino Alikuw ni CAM(#10) LW(#11) na Baadae klopp akamgeuza kuwa CF(false #9)Hatari Duniani?? Hakuna aliyewahi kufikiria hivyo.naona Unaweza Kuwa Hivyo Hivyo Kwa Gakpo.

Ukiangalia depth ya liverpool haswa Upande Wa washambuliaji utaona Kuna rundo la wachezaj Wenye Uwezo Wa Kucheza kama CF na LW hivyo gakpo Anaweza tumika sana kama mrithi wa firmino, Uholanzi Wanamtumia kama CF na Anafanya Vizuri tu.sion kama klopp atashindwa kumgeuza kama CF(False #9).kulingana na Uwezo Wake Wa Kucheza Mpira,Ufundi wake(technically ability)na unyumbulifu wake,ana Kila Sababu ya kurithi mikoba ya bobby Nina Uhakika amesajiliwa sio tu kama mtu wa Kucheza LW Kwa Sababu Sababu ya kuumia Kwa Diaz na jota Bali ni mtu wa Kuziba Nafasi ya boby hapo Baadae.

Hii ni replacement Ambayo Wengi tunaweza tusiione,Nunez,Jota Wote ni CF Wazuri Lakin hawajaweza Kucheza kama Ambavyo firmino Anacheza na kuisaidia timu.Hivyo gakpo Anaweza kidhi na Kuziba pengo Hilo Kwa taratibu kadri Muda unaenda.Sitoona Ajabu Gakpo Kumtoa Tena jota kama mshindani wa Nunez Eneo CF,Kwa Sababu Gapko ana Kila Sifa ya kuwa CF Mzuri Tena yule Anayefanya kama kile alichokuwa anakifanya firmino .

Usajili Mzur Kwa matumizi ya Baadae pale Ambapo firmino ataondoka.sasa imesalia Kutafuta mbadala wa Salah Mapema iwezekanavyo,Ili kuepusha kukumbwa na uhaba Wakati Akiwa Ameondok au unri umemtupa mkono na kuepuka Kufanya Usajili wa kukurupuka,next ni Kutafuta RW anayeendana au Mwenye potential ya kuwa kama Salah.

[QUOTE="ChichaMandi, post: 2622, member: 573"] Unawaza kama Mimi Kuhusu Cody Gakpo. Ukiangalia Kwa makini tunaweza gongana Mawazo kuhusuana na Nafasi ya gakpo pale Liverpool Kwa kuangalia Mkataba Mrefu aliopatiwa na umri wake.Gapko anaweza kuwa mrithi wa Roberto firmino hapo Baadae. Unakumbuka firmino Alikuw ni CAM(#10) LW(#11) na Baadae klopp akamgeuza kuwa CF(false #9)Hatari Duniani?? Hakuna aliyewahi kufikiria hivyo.naona Unaweza Kuwa Hivyo Hivyo Kwa Gakpo. Ukiangalia depth ya liverpool haswa Upande Wa washambuliaji utaona Kuna rundo la wachezaj Wenye Uwezo Wa Kucheza kama CF na LW hivyo gakpo Anaweza tumika sana kama mrithi wa firmino, Uholanzi Wanamtumia kama CF na Anafanya Vizuri tu.sion kama klopp atashindwa kumgeuza kama CF(False #9).kulingana na Uwezo Wake Wa Kucheza Mpira,Ufundi wake(technically ability)na unyumbulifu wake,ana Kila Sababu ya kurithi mikoba ya bobby Nina Uhakika amesajiliwa sio tu kama mtu wa Kucheza LW Kwa Sababu Sababu ya kuumia Kwa Diaz na jota Bali ni mtu wa Kuziba Nafasi ya boby hapo Baadae. Hii ni replacement Ambayo Wengi tunaweza tusiione,Nunez,Jota Wote ni CF Wazuri Lakin hawajaweza Kucheza kama Ambavyo firmino Anacheza na kuisaidia timu.Hivyo gakpo Anaweza kidhi na Kuziba pengo Hilo Kwa taratibu kadri Muda unaenda.Sitoona Ajabu Gakpo Kumtoa Tena jota kama mshindani wa Nunez Eneo CF,Kwa Sababu Gapko ana Kila Sifa ya kuwa CF Mzuri Tena yule Anayefanya kama kile alichokuwa anakifanya firmino . Usajili Mzur Kwa matumizi ya Baadae pale Ambapo firmino ataondoka.sasa imesalia Kutafuta mbadala wa Salah Mapema iwezekanavyo,Ili kuepusha kukumbwa na uhaba Wakati Akiwa Ameondok au unri umemtupa mkono na kuepuka Kufanya Usajili wa kukurupuka,next ni Kutafuta RW anayeendana au Mwenye potential ya kuwa kama Salah. [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Biriani la Ulaya
Cody Gakpo Ndani Ya Liverpool ✍🏿
Top
Bottom