Cristiano Ronaldo kuhusu Lionel Messi

Brenda

Mgeni
Oct 31, 2022
489
403
5
Dar es salaam
"Mchezaji wa kustaajabisha ni miujiza, mchezaji mkubwa… Kama mtu, tumekuwa tukishindana kwenye jukwaa moja kwa miaka 16, fikiria, miaka 16. Kwa hivyo, nina uhusiano mzuri naye. Mimi si rafiki yake - lakini ni kama mchezaji mwenzangu wa timu moja."

"Messi ni mtu ambaye ninaheshimu sana jinsi anavyozungumza kunihusu kila mara. Hata mke wake au mke wangu, mpenzi wangu, daima wanamheshimu na wanatoka Argentina. Mpenzi wangu anatoka Argentina. Nitasema nini kuhusu Messi? Mtu mzuri ambaye anafanya mambo makubwa katika soka."

Juu ya mchezaji mwengine bora aliemuona zaidi yake: "Yeye [Messi] na Zidane."

Piers Morgan alimuuliza Cristiano Ronaldo:
"Na ikiwa kutakuwa na mlolongo wa matukio ya ajabu na Mbappé akaenda Real Madrid. PSG wakakuhitaji na wakakuambia kuwa tuna wazo zuri, tunataka kuwaweka pamoja Messi na Ronaldo..."
Ronaldo:

"Kila kitu kinawezekana katika soka. Kwa nini ishindikane? ... Kwa hakika watauza jezi nyingi."

e4efa6ab-c336-423b-b44e-e402daf1184b.jpg