Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Biriani la Ulaya
Cristiano Ronaldo kuhusu Lionel Messi
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

"Mchezaji wa kustaajabisha ni miujiza, mchezaji mkubwa… Kama mtu, tumekuwa tukishindana kwenye jukwaa moja kwa miaka 16, fikiria, miaka 16. Kwa hivyo, nina uhusiano mzuri naye. Mimi si rafiki yake - lakini ni kama mchezaji mwenzangu wa timu moja."

"Messi ni mtu ambaye ninaheshimu sana jinsi anavyozungumza kunihusu kila mara. Hata mke wake au mke wangu, mpenzi wangu, daima wanamheshimu na wanatoka Argentina. Mpenzi wangu anatoka Argentina. Nitasema nini kuhusu Messi? Mtu mzuri ambaye anafanya mambo makubwa katika soka."

Juu ya mchezaji mwengine bora aliemuona zaidi yake: "Yeye [Messi] na Zidane."

Piers Morgan alimuuliza Cristiano Ronaldo:

"Na ikiwa kutakuwa na mlolongo wa matukio ya ajabu na Mbappé akaenda Real Madrid. PSG wakakuhitaji na wakakuambia kuwa tuna wazo zuri, tunataka kuwaweka pamoja Messi na Ronaldo..."

Ronaldo:

"Kila kitu kinawezekana katika soka. Kwa nini ishindikane? ... Kwa hakika watauza jezi nyingi."

[ATTACH=full]572[/ATTACH]

[QUOTE="Brenda, post: 1805, member: 464"] "Mchezaji wa kustaajabisha ni miujiza, mchezaji mkubwa… Kama mtu, tumekuwa tukishindana kwenye jukwaa moja kwa miaka 16, fikiria, miaka 16. Kwa hivyo, nina uhusiano mzuri naye. Mimi si rafiki yake - lakini ni kama mchezaji mwenzangu wa timu moja." "Messi ni mtu ambaye ninaheshimu sana jinsi anavyozungumza kunihusu kila mara. Hata mke wake au mke wangu, mpenzi wangu, daima wanamheshimu na wanatoka Argentina. Mpenzi wangu anatoka Argentina. Nitasema nini kuhusu Messi? Mtu mzuri ambaye anafanya mambo makubwa katika soka." Juu ya mchezaji mwengine bora aliemuona zaidi yake: "Yeye [Messi] na Zidane." Piers Morgan alimuuliza Cristiano Ronaldo: "Na ikiwa kutakuwa na mlolongo wa matukio ya ajabu na Mbappé akaenda Real Madrid. PSG wakakuhitaji na wakakuambia kuwa tuna wazo zuri, tunataka kuwaweka pamoja Messi na Ronaldo..." Ronaldo: "Kila kitu kinawezekana katika soka. Kwa nini ishindikane? ... Kwa hakika watauza jezi nyingi." [ATTACH type="full"]572[/ATTACH] [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Biriani la Ulaya
Cristiano Ronaldo kuhusu Lionel Messi
Top
Bottom