Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Biriani la Ulaya
Cristiano Ronaldo kuhusu Ten Hag
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

“Haniheshimu jinsi ninavyostahili, lakini ndivyo ilivyo. Hii ndiyo sababu pengine, mchezo dhidi ya Tottenham niliondoka.”

“Kuondoka uwanjani kabla ya mechi kumalizika dhidi ya Spurs ni jambo ambalo najutia — lakini pia nilihisi kukosewa na Erik ten Hag"

“Sitamruhusu kocha kuniingiza uwanjani kwa dakika tatu za mchezo. Samahani mimi sio mchezaji wa hivyo. Najua ninachoweza kutoa kwa timu."

“Kila mara aliniambia kuwa sihitaji maandalizi ya msimu mpya na ningojee nafasi yangu. Nikasema sawa, ninaelewa. Hafanyi hivyo kwa kila mchezaji, sitataja wachezaji, lakini hawafanyi hivyo kwa njia sawa."

Kuhusu Ten Hag kutomuingiza dhidi ya Man City kwa sababu ya heshima yake kwake:

“Vijisababu. Sitaki kumkosoa, anaweza kuwa na maoni tofauti na mimi, ninaheshimu hilo, lakini visingizio kila wakati.

“Mfano kwenye timu ya Taifa kocha akitaka kunipa dakika tano kwa sababu kuna mtu ameumia au akinihitaji nitamsaidia. Lakini kwa njia hiyo [dhidi ya Spurs] nilihisi kukosewa."

“Anasema mambo kwa waandishi wa habari, lakini waandishi wa habari wanasema wanachoona ni kizuri kumlinda yeye na klabu”

“Ninajuta kwamba niliondoka uwanjani [dhidi ya Spurs], lakini nilihisi kuwa haniheshimu baada ya masuala ambayo tulikuwa nayo hapo awali. Nilisikitishwa sana, sana, sana na mawasiliano kutoka kwa Man United."

“Sijawahi kuwa na tatizo na klabu yoyote au kocha yeyote kisha wakanisimamisha kwa siku tatu [baada ya kutoka nje] jambo ambalo nilihisi sasa hii imezidi. Ilikuwa ni aibu. Nadhani [ilikuwa ya kufedhehesha].”

“Nakumbuka nilipofika nyumbani na Cristiano [Jr] aliniona na kuniambia ‘Baba, hauendi kwenye mechi?’ Na nikasema kwamba klabu imeniadhibu kwa siku tatu, akasema ‘wanakuadhibu vipi wakati wewe ndiye bora zaidi duniani."

“Nilijisikia kukata tamaa sana. Ninajuta, naomba msamaha, sijakamilika na nilifanya makosa lakini kunisimamisha kwa siku tatu kwaajili ya hilo zilikuwa nyingi, nadhani.

Kuhusu ukosoaji wa Gary Neville baada ya Spurs: “Hawaoni picha kwa ukubwa. Kwa nini nilijibu hivyo. Kwamba nitakubali kucheza dakika tatu baada ya hali zote katika miezi miwili iliyopita. Usiniambie

[ATTACH=full]575[/ATTACH]

[QUOTE="Brenda, post: 1807, member: 464"] “Haniheshimu jinsi ninavyostahili, lakini ndivyo ilivyo. Hii ndiyo sababu pengine, mchezo dhidi ya Tottenham niliondoka.” “Kuondoka uwanjani kabla ya mechi kumalizika dhidi ya Spurs ni jambo ambalo najutia — lakini pia nilihisi kukosewa na Erik ten Hag" “Sitamruhusu kocha kuniingiza uwanjani kwa dakika tatu za mchezo. Samahani mimi sio mchezaji wa hivyo. Najua ninachoweza kutoa kwa timu." “Kila mara aliniambia kuwa sihitaji maandalizi ya msimu mpya na ningojee nafasi yangu. Nikasema sawa, ninaelewa. Hafanyi hivyo kwa kila mchezaji, sitataja wachezaji, lakini hawafanyi hivyo kwa njia sawa." Kuhusu Ten Hag kutomuingiza dhidi ya Man City kwa sababu ya heshima yake kwake: “Vijisababu. Sitaki kumkosoa, anaweza kuwa na maoni tofauti na mimi, ninaheshimu hilo, lakini visingizio kila wakati. “Mfano kwenye timu ya Taifa kocha akitaka kunipa dakika tano kwa sababu kuna mtu ameumia au akinihitaji nitamsaidia. Lakini kwa njia hiyo [dhidi ya Spurs] nilihisi kukosewa." “Anasema mambo kwa waandishi wa habari, lakini waandishi wa habari wanasema wanachoona ni kizuri kumlinda yeye na klabu” “Ninajuta kwamba niliondoka uwanjani [dhidi ya Spurs], lakini nilihisi kuwa haniheshimu baada ya masuala ambayo tulikuwa nayo hapo awali. Nilisikitishwa sana, sana, sana na mawasiliano kutoka kwa Man United." “Sijawahi kuwa na tatizo na klabu yoyote au kocha yeyote kisha wakanisimamisha kwa siku tatu [baada ya kutoka nje] jambo ambalo nilihisi sasa hii imezidi. Ilikuwa ni aibu. Nadhani [ilikuwa ya kufedhehesha].” “Nakumbuka nilipofika nyumbani na Cristiano [Jr] aliniona na kuniambia ‘Baba, hauendi kwenye mechi?’ Na nikasema kwamba klabu imeniadhibu kwa siku tatu, akasema ‘wanakuadhibu vipi wakati wewe ndiye bora zaidi duniani." “Nilijisikia kukata tamaa sana. Ninajuta, naomba msamaha, sijakamilika na nilifanya makosa lakini kunisimamisha kwa siku tatu kwaajili ya hilo zilikuwa nyingi, nadhani. Kuhusu ukosoaji wa Gary Neville baada ya Spurs: “Hawaoni picha kwa ukubwa. Kwa nini nilijibu hivyo. Kwamba nitakubali kucheza dakika tatu baada ya hali zote katika miezi miwili iliyopita. Usiniambie [ATTACH type="full"]575[/ATTACH] [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Biriani la Ulaya
Cristiano Ronaldo kuhusu Ten Hag
Top
Bottom