Dakika 45 Yanga vs Tanzania Prison

Bangala

Mgeni
Dec 13, 2022
39
24
5
Timu imecheza vizuri kuanzia nyuma mpaka kiungo safu ya ushambuliaj waongeze utulivu naamn wanaeweza kuibuka na ushindi yote kwa yoye walimu ameyaona atayafanyia kazi mapungufu

Kkufanya Sub: ingiza Mayele na Muda apumzike Mauya na Musonda na mbele amuongeze Clement kubadilisha mchezo

Kama Tanzania Prison Wangekuwa wanacheza hivi siku zote kwenye danger zone wasingekuweko

Kwakua tayari wana red card ni advantage nzuri kwa Yanga kutafuta matokeo

1677862896111.png