Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Darasa La Bure Kwa Wana KIJIWENI Kuhusu Sakata La Kibu
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

đđŽđŋđŽđđŽ đšđŽ đ¯đđŋđ˛ :

Hakuna mkataba ambao hauvunjiki

(FIFA) walitambua kwa LOOP-HOLE hiyo wachezaji wengi wataitumia vibaya kuziacha timu zao kiholela wanapopata ofa kubwa zaidi kutoka kwa timu zingine hivyo kufanya baadhi ya vilabu vyenye uchumi wa chini kuathirika. Wakaweka kanuni za kufuata.

(FIFA) waliweka vipengele vya kufuata pale ambapo mchezaji anataka kuvunja mkataba wake na timu aliyoingia nayo mkataba huo.

Mchezaji akiwa hajalipwa mshahara kwa miezi mitatu (3) mfululizo anaruhusiwa kuvunja mkataba na kuondoka.

Mchezaji asipocheza kikosini kwa chini ya asilimia 10% kwa msimu mmoja anaweza kuvunja mkataba na kuondoka.

Yanapotokea machafuko | vita mchezaji anaruhusiwa kuvunja mkataba na kuondoka.

Mchezaji anaweza kuvunja mkataba kwa kulipa thamani ya Release Cluse yake ambayo ipo kwenye mkataba (Kuununua mkataba) lakini kwa masharti yafuatayo :

â Hatakiwi THIRD PARTY, hairuhusiwi mtu wa tatu (Timu) kuwa nyuma ya mchezaji kushawishi avunje mkataba.

â Pande zote mbili zikubaliane. Sio kuweka mzigo (Pesa) tu na kusepa.

â Mkataba hauvunjiki katikati ya msimu mchezaji akiwa hana sababu za msingi hata kama kalipa pesa kuununua mkataba wake.

Vipengele vyote hivyo havikufuatwa kwenye sakata la Feisal, ilitumika busara.

Kitendo kile kiliwafanya wachezaji wengi Tanzania waamini kumbe unaweza kuvunja mkataba wakati wowote tu na isiwe issue.

Wanafunzi bora wa somo hilo ni :

â Awesu Asesu.

â Prince Dube.

â Valentino Mashaka.

â Kibu Denis.

Kibu Denis anaamini anaweza kuuvunja mkataba wa Simba Sports Club wakati wowote ndio maana hana hofu.

Busara iendelee kutumika.

Mnayo ruhusa ya kunisahihisha kabisaaaaa niko tayari

[QUOTE="Hammy36, post: 7366, member: 617"] đđŽđŋđŽđđŽ đšđŽ đ¯đđŋđ˛ : Hakuna mkataba ambao hauvunjiki [IMG alt="đ"]https://static.xx.fbcdn.net/images/emoji.php/v9/tac/1/16/1f4cc.png[/IMG] (FIFA) walitambua kwa LOOP-HOLE hiyo wachezaji wengi wataitumia vibaya kuziacha timu zao kiholela wanapopata ofa kubwa zaidi kutoka kwa timu zingine hivyo kufanya baadhi ya vilabu vyenye uchumi wa chini kuathirika. Wakaweka kanuni za kufuata. (FIFA) waliweka vipengele vya kufuata pale ambapo mchezaji anataka kuvunja mkataba wake na timu aliyoingia nayo mkataba huo. [IMG alt="âšī¸"]https://static.xx.fbcdn.net/images/emoji.php/v9/t8e/1/16/2139.png[/IMG] Mchezaji akiwa hajalipwa mshahara kwa miezi mitatu (3) mfululizo anaruhusiwa kuvunja mkataba na kuondoka. [IMG alt="âšī¸"]https://static.xx.fbcdn.net/images/emoji.php/v9/t8e/1/16/2139.png[/IMG] Mchezaji asipocheza kikosini kwa chini ya asilimia 10% kwa msimu mmoja anaweza kuvunja mkataba na kuondoka. [IMG alt="âšī¸"]https://static.xx.fbcdn.net/images/emoji.php/v9/t8e/1/16/2139.png[/IMG] Yanapotokea machafuko | vita mchezaji anaruhusiwa kuvunja mkataba na kuondoka. [IMG alt="âšī¸"]https://static.xx.fbcdn.net/images/emoji.php/v9/t8e/1/16/2139.png[/IMG] Mchezaji anaweza kuvunja mkataba kwa kulipa thamani ya Release Cluse yake ambayo ipo kwenye mkataba (Kuununua mkataba) lakini kwa masharti yafuatayo : â Hatakiwi THIRD PARTY, hairuhusiwi mtu wa tatu (Timu) kuwa nyuma ya mchezaji kushawishi avunje mkataba. â Pande zote mbili zikubaliane. Sio kuweka mzigo (Pesa) tu na kusepa. â Mkataba hauvunjiki katikati ya msimu mchezaji akiwa hana sababu za msingi hata kama kalipa pesa kuununua mkataba wake. Vipengele vyote hivyo havikufuatwa kwenye sakata la Feisal, ilitumika busara. Kitendo kile kiliwafanya wachezaji wengi Tanzania waamini kumbe unaweza kuvunja mkataba wakati wowote tu na isiwe issue. Wanafunzi bora wa somo hilo ni : â Awesu Asesu. â Prince Dube. â Valentino Mashaka. â Kibu Denis. [IMG alt="âšī¸"]https://static.xx.fbcdn.net/images/emoji.php/v9/t8e/1/16/2139.png[/IMG] Kibu Denis anaamini anaweza kuuvunja mkataba wa Simba Sports Club wakati wowote ndio maana hana hofu. Busara iendelee kutumika. [B]Mnayo ruhusa ya kunisahihisha kabisaaaaa niko tayari[/B] [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Darasa La Bure Kwa Wana KIJIWENI Kuhusu Sakata La Kibu
Top
Bottom