Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Biriani la Ulaya
Dembele kubaki Barcelona.
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

Licha ya Ousmane Dembele kuendelea kusisitiza kuwa anataka kubaki Fc Barcelona baada ya kukutana na kuzungumza na kocha wake Xavi Hernandez, wakala wa nyota huyo Moussa Sissoko afunguka mazito

"Hatujui itakuwaje, lakini viongozi wa Barca wanampoteza Ousmane wao wenyewe. Tangu mwanzo, tulionyesha kwamba tupo tayari kuzungumza nao kuhusu mkataba mpya bila kuzuizi chochote"

"Wapo kama hawawezi kufanya kazi na watu kama sisi, Labda nafikiri wanaweza kufanya kazi na mawakala ambao ni rafiki wa Barcelona ila Sio kesi yangu, mimi nipo hapa kwaajilj ya kutetea masilahi ya mchezaji wangu."

"Hatupo hapa kwa ajili ya kuchochea mijadala kwenye mitandao ya kijamii, lakini ukweli lazima usemwe. Ndiyo, tunayo matakwa ya kudai, lakini tayari tumeshaonyesha kwamba maamuzi ya mchezaji mwenyewe hayaangalii pesa, vinginevyo asingekuwa hapa. ."

"Kama Barca wangetaka mazungumzo, wangejaribu kuja mezani tuzungumze lakini hadi sasa hakuna mazungumzo yoyote"

Ikumbukwe mkataba wa Ousmane Dembele unamalizika mwishoni mwa msimu huu, tayari vilabu vya Chelsea, Manchester United, Bayern Munich na Newcastle vimeonyesha nia ya kumhitaji.

[QUOTE="Amir, post: 443, member: 20"] Licha ya Ousmane Dembele kuendelea kusisitiza kuwa anataka kubaki Fc Barcelona baada ya kukutana na kuzungumza na kocha wake Xavi Hernandez, wakala wa nyota huyo Moussa Sissoko afunguka mazito "Hatujui itakuwaje, lakini viongozi wa Barca wanampoteza Ousmane wao wenyewe. Tangu mwanzo, tulionyesha kwamba tupo tayari kuzungumza nao kuhusu mkataba mpya bila kuzuizi chochote" "Wapo kama hawawezi kufanya kazi na watu kama sisi, Labda nafikiri wanaweza kufanya kazi na mawakala ambao ni rafiki wa Barcelona ila Sio kesi yangu, mimi nipo hapa kwaajilj ya kutetea masilahi ya mchezaji wangu." "Hatupo hapa kwa ajili ya kuchochea mijadala kwenye mitandao ya kijamii, lakini ukweli lazima usemwe. Ndiyo, tunayo matakwa ya kudai, lakini tayari tumeshaonyesha kwamba maamuzi ya mchezaji mwenyewe hayaangalii pesa, vinginevyo asingekuwa hapa. ." "Kama Barca wangetaka mazungumzo, wangejaribu kuja mezani tuzungumze lakini hadi sasa hakuna mazungumzo yoyote" Ikumbukwe mkataba wa Ousmane Dembele unamalizika mwishoni mwa msimu huu, tayari vilabu vya Chelsea, Manchester United, Bayern Munich na Newcastle vimeonyesha nia ya kumhitaji. [IMG alt="Inaweza kuwa picha ya Mtu 1 na nyasi"]https://scontent.fnbo1-1.fna.fbcdn.net/v/t39.30808-6/p526x296/272066377_5005123009547609_3403328796391835119_n.jpg?_nc_cat=103&ccb=1-5&_nc_sid=a26aad&_nc_ohc=nXOJhCkcMBAAX9LFtLl&_nc_ht=scontent.fnbo1-1.fna&oh=00_AT9Lwvl6f29o4JkhM7wJxbu-TvU0kLVWHs423fvTahKcTw&oe=61EC3A2A[/IMG] [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Biriani la Ulaya
Dembele kubaki Barcelona.
Top
Bottom