Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
DERBY YA SUDAN Kupigwa Bongo Azam Complex ( AL HILAL vs AL MARREIKH
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

Juni 27,2024 katika uwanja wa Azam Complex kutakuwa na mchezo wa kombe la Sudan (Sudanese super Cup) ambao utazikutanisha timu za Al Hilal Omdurman dhidi ya Al Marreikh zote za Sudan.

Klabu hizi kwa sasa zote zipo Tanzania ambapo mbali na mchezo huu zinajiandaa kushiriki michuano ya Kagame ambayo itafanyika huko Zanzibar mwezi Julai 2024.

Hii ni Derby ambayo kwa Mara ya kwanza itapigwa hapa Tanzania wakati huu ambao Sudan Imekumbwa na machafuko.

Al Hilal wanafanya mazoezi yao katika viwanja vya JMK Park kidongo chekundu huku Al marreik wakifanya mazoezi yao katika uwanja wa Azam Complex.

[QUOTE="Hammy36, post: 5739, member: 617"] Juni 27,2024 katika uwanja wa Azam Complex kutakuwa na mchezo wa kombe la Sudan (Sudanese super Cup) ambao utazikutanisha timu za Al Hilal Omdurman dhidi ya Al Marreikh zote za Sudan. Klabu hizi kwa sasa zote zipo Tanzania ambapo mbali na mchezo huu zinajiandaa kushiriki michuano ya Kagame ambayo itafanyika huko Zanzibar mwezi Julai 2024. Hii ni Derby ambayo kwa Mara ya kwanza itapigwa hapa Tanzania wakati huu ambao Sudan Imekumbwa na machafuko. Al Hilal wanafanya mazoezi yao katika viwanja vya JMK Park kidongo chekundu huku Al marreik wakifanya mazoezi yao katika uwanja wa Azam Complex. [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
DERBY YA SUDAN Kupigwa Bongo Azam Complex ( AL HILAL vs AL MARREIKH
Top
Bottom