Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
DODOMA JIJI WAILAZA NAMUNGO FC 2-1 ILULU NA MBEYA KWANZA YAICHAPA KAGERA SUGAR 2-0 KAITABA
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

WENYEJI, Namungo FC wamekubali kipigo cha 2-1 kutoka kwa Dodoma Jiji FC katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara jioni ya leo Uwanja wa Ilulu mjini Lindi.

Mabao ya Dodoma Jiji yamefungwa na Anuary Jabir dakika ya 18 na Emmanuel Martin dakika ya 73, wakati la Namungo FC limefungwa na Bigirimana Blaise dakika ya 26.

Dodoma Jiji FC inafikisha pointi 16 katika nafasi ya nne, wakati Namungo FC inabaki na pointi zake 12 katika nafasi ya saba baada ya timu zote kucheza mechi 10.

Mechi nyingine ya Ligi Kuu leo, wenyeji wengine, Kagera Sugar wamechapwa mabao 2-0 na Mbeya Kwanza Uwanja wa Kaitaba mjini Bukoba.

Mabao ya Mbeya Kwanza jioni ya leo yamefungwa na Willy Edgar dakika ya 36 na Oscar Mwajanga dakika ya 85 na kwa ushindi huo inafikisha pointi 10 katika mechi ya 10 na kusogea nafasi ya tisa, wakati Kagera inabaki na pointi zake tisa za mechi tisa nafasi ya 11.

[QUOTE="mhariri, post: 171, member: 122"] WENYEJI, Namungo FC wamekubali kipigo cha 2-1 kutoka kwa Dodoma Jiji FC katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara jioni ya leo Uwanja wa Ilulu mjini Lindi. Mabao ya Dodoma Jiji yamefungwa na Anuary Jabir dakika ya 18 na Emmanuel Martin dakika ya 73, wakati la Namungo FC limefungwa na Bigirimana Blaise dakika ya 26. Dodoma Jiji FC inafikisha pointi 16 katika nafasi ya nne, wakati Namungo FC inabaki na pointi zake 12 katika nafasi ya saba baada ya timu zote kucheza mechi 10. Mechi nyingine ya Ligi Kuu leo, wenyeji wengine, Kagera Sugar wamechapwa mabao 2-0 na Mbeya Kwanza Uwanja wa Kaitaba mjini Bukoba. Mabao ya Mbeya Kwanza jioni ya leo yamefungwa na Willy Edgar dakika ya 36 na Oscar Mwajanga dakika ya 85 na kwa ushindi huo inafikisha pointi 10 katika mechi ya 10 na kusogea nafasi ya tisa, wakati Kagera inabaki na pointi zake tisa za mechi tisa nafasi ya 11. [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
DODOMA JIJI WAILAZA NAMUNGO FC 2-1 ILULU NA MBEYA KWANZA YAICHAPA KAGERA SUGAR 2-0 KAITABA
Top
Bottom