DSE Maarifa Hisa Kiganjani

JimNicklaus

Administrator
Staff member
Nov 30, 2021
13
2
5
Dar Es Salaam
LA MGAMBO LIKILIA ..KUNA JAMBO..DSE inakuja tena na shindano jipya kabisa la DSE Maarifa Hisa Kiganjani linatoa fursa kwa umma kwa jumla kujifunza masuala ya uwekezaji kwa vitendo ya dhamana ( HISA na HATIFUNGANI) zilizopo ndani ya Soko la Hisa la Dar es Salaam.. USIPITWE NA HILI kua mmoja wa Mapinduzi ya kiuchumi katika UWEKEZAJI. Shiriki ujifunze uwekezaji na pia upate nafasi ya kujishindia zawadi kemkem.

268087317_402957828180446_3697177519807320890_n.jpg