Dybala Anatupa Funzo Kubwa Sana..!

ChichaMandi

Mgeni
Dec 15, 2022
65
71
5
Paulo Dybala Hajacheza Dakika 20 Kwenye Kombe Hili La Dunia,Akicheza Dakika Za Usiku Dhidi Ya Croatia Na Akafunga Penati Kwenye Fainali.

Lakini Ni Moja Kati Ya Watu Ambao Kila Mchezo Wa Argentina Walikuwa Wanaisapoti Timu Kwa Asilimia 💯 Hakuwahi Kuonekana Kama Amekata Tamaa,Alifurahi Sana Pale Ilipohitajika,Alihuzunika Sana Pale Ilipohitajika Huzuni,Hakujali Hajacheza Michezo Mingapi, Hakujali Sifa Zitaenda Kwa Nani,Alichohitaji Ni Ushindi Peke Yake..!
Dybala Ametupa Funzo Kubwa Sana Kiukweli..!