ENGLAND PREMIUM LEAGUE (EPL)

Brenda

Mgeni
Oct 31, 2022
489
403
5
Dar es salaam
Liverpool waliibuka na ushinda wa mabao 2 kwa 0 dhidi ya wapinzani wao Napoli \

Liverpool wameonekana kuwa bora sana kwenye michuno ya UCL zaidi ya Ligi za ndani, sikuizi imekuwa ni ngumu sana kuwaelewa Liverpool ni kama wamepotea lakini wamo
1667376563980.png
 

Brenda

Mgeni
Oct 31, 2022
489
403
5
Dar es salaam
Mwanzoni mwa Msimu: anaandika Mohamed Abu Trika
"Maoni yangu ya kwanza kwa lisandro Martinez ni "Maguire" toleo la "Argentina", kwanza ni mfupi, ni mzuri tu mpira ukiwa timu na kwa bahati mbaya Manchester United walilipa milioni 50 kwake"

Mohamed Abu Trika juzi baada ya mechi ya West Ham United:
"Nilikua mwepesi kumhukumu Martinez, anacheza vizuri na kuboresha uwezo wake mechi baada ya mechi. kwa sasa ni mmoja wa mabeki bora kwenye ligi"
1667376840782.png
 

Brenda

Mgeni
Oct 31, 2022
489
403
5
Dar es salaam
WALINGANISHWA KWENYE DUELS

1667388954659.png1667388972047.png
William Saliba (78.6%) na Virgil Van Dijk (75.0%) ni kati ya wachezaji 231 ambao wameshindana kwa angalau duels 20 kwenye ligi kuu mnao Oktoba,ni wachezaji pekee waliopata kiwango cha mafanikio cha 75% au zaidi.
 

Brenda

Mgeni
Oct 31, 2022
489
403
5
Dar es salaam
Maneno ya kocha wa zamani wa Juventus, Luigi Maifredi, juu ya usajili wa Pogba
1667389845831.png
Luigi Maifredi "Nyuma ya kushindwa kwa timu ya Juventus pia kuna matokeo mabaya katika kampeni ya soka la usajili. Tuseme ukweli, ikiwa Manchester United itakupa Pogba kwa urahisi hivyo, lazima wanajua kitu kuhusu majeraha yake."
 

Brenda

Mgeni
Oct 31, 2022
489
403
5
Dar es salaam
Weekend hii England kuna mechi kubwa huko London (London Derby)
Chelsea vs Arsenal
 

Attachments

  • d92b4b4b-4a91-4650-a04f-dc20339ad280.jpg
    d92b4b4b-4a91-4650-a04f-dc20339ad280.jpg
    144.9 KB · Somwa: 0

Brenda

Mgeni
Oct 31, 2022
489
403
5
Dar es salaam
Diogo dalot
Mawindoni na Xavi ikumbukwe kabakisha mwaka mmoja kwenye mkataba wake je United itaweza mzuia mchezaj huyo kwenda huko ni swala la mda huku Perez akisubiri performance yake ya kombe la dunia kujidhihirisha kwaajili ya kuvaa viatu vya Danny carvajal

Hiii taarifa ni mbaya kwa Manchester United.
 

Attachments

  • WhatsApp Image 2022-11-03 at 9.54.43 AM.jpeg
    WhatsApp Image 2022-11-03 at 9.54.43 AM.jpeg
    93.3 KB · Somwa: 0

Brenda

Mgeni
Oct 31, 2022
489
403
5
Dar es salaam
Denis Zakaria amefunga goal lake la kwanza akiwa Chelsea kwenye mchezo wao UCL dhidi ya Dinamo Zagreb ulioisha 2-1 huku Zakaria akiwa ametupia goal moja dakika ya 30.

FgmOswkXgAEOfdb.jpg
 

Brenda

Mgeni
Oct 31, 2022
489
403
5
Dar es salaam
WAWILI HAWA MAJERAHA TENA
Ni Chilwell na james wamekumbwa tena na Majeraha ni wingbacks wa Chelsea, ambao kuna uwezekano mkubwa wawili hao kukosa mechi za weekend hii kwasababu ya kupata tena majeraja.a3a6993c-1a82-4af0-b058-08a2a8bddda4.jpg