Mwanzoni mwa Msimu: anaandika Mohamed Abu Trika
"Maoni yangu ya kwanza kwa lisandro Martinez ni "Maguire" toleo la "Argentina", kwanza ni mfupi, ni mzuri tu mpira ukiwa timu na kwa bahati mbaya Manchester United walilipa milioni 50 kwake"
Mohamed Abu Trika juzi baada ya mechi ya West Ham United:
"Nilikua mwepesi kumhukumu Martinez, anacheza vizuri na kuboresha uwezo wake mechi baada ya mechi. kwa sasa ni mmoja wa mabeki bora kwenye ligi"
