ERICK 10 HAG KWA GERNACHO

Brenda

Mgeni
Oct 31, 2022
489
403
5
Dar es salaam
Ten Hag: "Goli zuri. Yalikuwa ni mashambulizi mazuri kuanzia kwa David de Gea, Bruno [Fernandes], Ronny [Ronaldo] alipoutoa kwenye upande wa winga na ulikuwa ni umaliziaji bora kabisa.”
"Tulihitaji mibadala. Antony hayupo, Martial hayupo, Sancho hayupo. Nimefurahia alivyocheza, alikuwa hatari, alikuwa vizuri kwenye kuzuia. Akiendelea hivi basi atanifurahisha."
 

Attachments

  • EAC70543-D0D9-433D-825B-2295C773EBF2.jpeg
    EAC70543-D0D9-433D-825B-2295C773EBF2.jpeg
    121.9 KB · Somwa: 0