Erick Ten Hag hamuhitaji tena Ronaldo kikosini

Brenda

Mgeni
Oct 31, 2022
489
403
5
Dar es salaam
Erik ten Hag amewaambia mabosi wa Manchester United kwamba Cristiano Ronaldo hatakiwi kuichezea klabu hiyo tena.

Ten Hag yuko tayari kumuona Cristiano Ronaldo akiondoka Manchester United hata kama hakuna mbadala wake katika dirisha la usajili la Januari.
e66d5cb5-0721-4349-98a5-154d1828c624.jpg