Erik ten Hag amewaambia mabosi wa Manchester United kwamba Cristiano Ronaldo hatakiwi kuichezea klabu hiyo tena.
Ten Hag yuko tayari kumuona Cristiano Ronaldo akiondoka Manchester United hata kama hakuna mbadala wake katika dirisha la usajili la Januari.
