Erick Ten Hag kocha Man United anakibarua kizito

Brenda

Mgeni
Oct 31, 2022
489
403
5
Dar es salaam
Sir ETH
-Anatakiwa kumtoa Barca abaki Europa ✅

-Anatakiwa kuua Newcastle abebe EFL

-Anatakiwa kupiga West Ham abaki FA

-Anatakiwa ampige Liverpool aendelee kukusanya pointi za EPL Na game zote zimefatana na zitachezwa kila baada ya siku3 em chukua dakika 5 zamfikiria huyu baba

1677231996876.png