Sir ETH
-Anatakiwa kumtoa Barca abaki Europa
-Anatakiwa kuua Newcastle abebe EFL
-Anatakiwa kupiga West Ham abaki FA
-Anatakiwa ampige Liverpool aendelee kukusanya pointi za EPL Na game zote zimefatana na zitachezwa kila baada ya siku3 em chukua dakika 5 zamfikiria huyu baba
