Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Biriani la Ulaya
Erick Ten Hag na Mashabiki waskitishwa na mahojiano ya Ronaldo
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

Erik Ten Hag na wachezaji wa Manchester United wamesikitishwa sana kwa muda alioamua kuutumia Cristiano kwaajili ya mahojiano. Klabu ilifahamu kuhusu mahojiano hayo walipokuwa wakijiandaa kurejea kutoka London baada ya mchezo wa Fulham.

Uongozi na wachezaji hawaelewi kwanini amesema alichosema. Wamesikitishwa sana kwamba amedharau klabu, meneja wake na wachezaji wenzake.

Cristiano Ronaldo aliambiwa Alhamisi kwamba hatokuwa kwenye kikosi kitakachoanza dhidi ya Fulham lakini atakuwa kwenye wachezaji wa akiba. Aliiambia klabu kuwa ni mgonjwa.

Hakuna mtu ndani ya Manchester United ambaye amewahi kumdharau Cristiano Ronaldo - hata baada ya kuomba kuondoka na baada ya kukataa kucheza kama sub dhidi ya Spurs.

[ATTACH=full]526[/ATTACH]

[QUOTE="Brenda, post: 1773, member: 464"] Erik Ten Hag na wachezaji wa Manchester United wamesikitishwa sana kwa muda alioamua kuutumia Cristiano kwaajili ya mahojiano. Klabu ilifahamu kuhusu mahojiano hayo walipokuwa wakijiandaa kurejea kutoka London baada ya mchezo wa Fulham. Uongozi na wachezaji hawaelewi kwanini amesema alichosema. Wamesikitishwa sana kwamba amedharau klabu, meneja wake na wachezaji wenzake. Cristiano Ronaldo aliambiwa Alhamisi kwamba hatokuwa kwenye kikosi kitakachoanza dhidi ya Fulham lakini atakuwa kwenye wachezaji wa akiba. Aliiambia klabu kuwa ni mgonjwa. Hakuna mtu ndani ya Manchester United ambaye amewahi kumdharau Cristiano Ronaldo - hata baada ya kuomba kuondoka na baada ya kukataa kucheza kama sub dhidi ya Spurs. [ATTACH type="full"]526[/ATTACH] [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Biriani la Ulaya
Erick Ten Hag na Mashabiki waskitishwa na mahojiano ya Ronaldo
Top
Bottom