Erik Ten Hag anajua jinsi ya kubadilisha mienendo ya mchezo

JohBwax

Mgeni
Nov 4, 2022
84
72
5
Erik Ten Hag anajua jinsi ya kubadilisha mienendo ya mchezo.

▪️Baada ya kipindi cha kwanza, Binafsi nilimtaka Sabitzer aingie kwa sababu ilikua wakishindwa katika eneo la kiungo, Watu wengi walitaka hivyo pia.

▪Erik Ten Hag badala yake, Alimtoa Weghorst na kumleta Antony kushikilia upana wa winga ya kulia na kumzuia Balde asisonge mbele.

▪️Alimrejesha Bruno hadi namba kumi (chini ya mshambuliaji - Rashford) na Kumsukuma Sancho nje (winga ya kushoto) kwa upana.

Baada ya hapo walikuwa wanamiliki mali vizuri sana, japo kulikuwa na makosa madogo madogo.

United wanahaki yakujivunia kua na ETH kwa hakika.

1677236516846.png