Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Biriani la Ulaya
ETH amebadilisha Sana nidhamu pale Manchester united na amewapa kombe la kwanza baada ya miaka 6
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

Ten amebadirisha Sana nidhamu pale Manchester United na ameweza kuifundisha team iingie kwenye mfumo wake, Ten ni muumini wa mpira unaoanzishwa na viungo wakati na wing mmoja.

Unamuona anaifanya team ishambulie kutoka katikati kwenda pembeni nakurudi Kati kwa mafanikio makubwa

Akipewa pesa ya usajiri ataifikisha mbali Sana team kwa mechi ya Leo aliingia kushinda akafunguka akapata goli mbili mapema japo tumekosa magoli mengi Sana.

Second alipoona Newcastle anakuja Sana akaona awaache wacheze yeye atawashtukiza kwa mipira mirefu na aliweza japo haikuzaa goli.

Dakika za Mwisho akaona akabe zaidi akatoa viungo akaingiza viungo wakabaji zaidi akafanikiwa zaidi kuwazuia Newcastle.

Ameshinda Ten Hag kwani mbinu yake imeleta matokeo zaidi.

[ATTACH=full]1304[/ATTACH][ATTACH=full]1305[/ATTACH]

[QUOTE="Brenda, post: 3462, member: 464"] Ten amebadirisha Sana nidhamu pale Manchester United na ameweza kuifundisha team iingie kwenye mfumo wake, Ten ni muumini wa mpira unaoanzishwa na viungo wakati na wing mmoja. Unamuona anaifanya team ishambulie kutoka katikati kwenda pembeni nakurudi Kati kwa mafanikio makubwa Akipewa pesa ya usajiri ataifikisha mbali Sana team kwa mechi ya Leo aliingia kushinda akafunguka akapata goli mbili mapema japo tumekosa magoli mengi Sana. Second alipoona Newcastle anakuja Sana akaona awaache wacheze yeye atawashtukiza kwa mipira mirefu na aliweza japo haikuzaa goli. Dakika za Mwisho akaona akabe zaidi akatoa viungo akaingiza viungo wakabaji zaidi akafanikiwa zaidi kuwazuia Newcastle. Ameshinda Ten Hag kwani mbinu yake imeleta matokeo zaidi. [ATTACH type="full"]1304[/ATTACH][ATTACH type="full"]1305[/ATTACH] [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Biriani la Ulaya
ETH amebadilisha Sana nidhamu pale Manchester united na amewapa kombe la kwanza baada ya miaka 6
Top
Bottom