ETH ameirejesha timu ya Man United tena

McRay

Mgeni
Nov 4, 2022
185
131
5
Kiukweli tumeangaika mda mrefu sana bila mafanikio nadhani huu ndo muda wa kurudisha heshima yetu sifa zote apewe uyu mwamba taratibu wataelewa kuna kale kamsemo Ambangile anasema "Tutawashangaza"

Muangalie Varane na Martinez...Afu kumbuka Maguire na Lindelof

Muangalie Casemiro na Eriksen/Fred...af kumbuka Tommy na Fred/Pogba

Mnakumbuka show za Maguire

Mnakumbuka enzi Rashford ana msongo wa mawazo

Mnakumbuka kipindi Ole hasomeki

Mnakumbuka matusi ya cr7

Mnakumbuka kejeli za Pogba


1677481196804.png