Kipara fundi. Baada ya kuzidiwa second half na kufungwa goal, wote tuliona kabisa kiungo kimepotea na pengine tulidhani tunapaswa kuongeza viungo kwa ajili ya kumiliki mpira.
Kumbe mwamba haoni kiungo, jicho lake la tatu linaona kitu tofauti, na imagine anamtoa kiungo tegemeo kama Eriksen na kuingiza wasio viungo lln wana impact. The substitution was quite phenomenal.
Kumbe managers watches the game in a typical managerial perspective.
Let the managers get hired!
This is how we do it!