Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Biriani la Ulaya
European Super League mbioni kurejea
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

THE EUROPEAN SUPER LEAGUE IS BACK

Waratibu wa michuano iliyozua taharuki Ulaya “THE EUROPEAN SUPER LEAGUE” wamerejea tena na mpango wao wa michuano hio na wamepanga kufanya mabadiliko ya namna michuano hii itakavyoendeshwa.

Michuano itahusishwa vilabu kuanzia 60 mpaka 80 huku ikichezwa katika madaraja tofauti.

Timu Moja itacheza uwiano wa michezo mpaka 14 kwa Msimu.

KUBWA KULIKO: Wameondoa kipengele cha “Closed Door Tournament” ikiwa na maana kuwa kwa sasa hii michuano itaruhusu timu kuingia na kutoka katika madaraja husika.

Tunafahamu kuwa Timu zilizojihusisha na ESL zimekutana na misukosuko kadha wa kadhaa baada ya KUJIUNGA na mashindano yaliyopingwa na mamlaka nyingi za soka Ulaya.

For Example , Chelsea Take over, Juventus demise, Manchester City Scandals , Liverpool&Manchester United Sale proposals .

Tayari maafisa wa vilabu vya Juventus, Real Madrid na Fc Barcelona wakiongozwa na Rais wa Real Madrid Florentino Perez wameanza Mazungumzo na vilabu takribani 50 ili viweze kujiunga.

Kumbuka lengo Mama la michuano hii ni kuongeza vipato ndani ya vilabu shiriki, huku waanzilishi wa michuano hii wao wanaamini timu zinatumia pesa nyingi kwenye sajili lakini hakuna wanachopata kupitia michuano ya UEFA, hivyo wanaamini kupitia European Super League anaweza akawa mkombozi kwa vilabu vingi barani ulaya.

Je, Mabadiliko Haya ya THE SUPER LEAGUE yatatengeneza urahisi wa kuanzishwa kwa ligi hii ya Wadau?

NB: Kama tumebariki AFRICAN SUPER LEAGUE VIPI TULAANI EUROPEAN SUPER LEAGUE?

[ATTACH=full]1185[/ATTACH]

[QUOTE="Sports journalist, post: 3241, member: 622"] THE EUROPEAN SUPER LEAGUE IS BACK🔥💸📌 Waratibu wa michuano iliyozua taharuki Ulaya “THE EUROPEAN SUPER LEAGUE” wamerejea tena na mpango wao wa michuano hio na wamepanga kufanya mabadiliko ya namna michuano hii itakavyoendeshwa. Michuano itahusishwa vilabu kuanzia 60 mpaka 80 huku ikichezwa katika madaraja tofauti. Timu Moja itacheza uwiano wa michezo mpaka 14 kwa Msimu. KUBWA KULIKO: Wameondoa kipengele cha “Closed Door Tournament” ikiwa na maana kuwa kwa sasa hii michuano itaruhusu timu kuingia na kutoka katika madaraja husika. Tunafahamu kuwa Timu zilizojihusisha na ESL zimekutana na misukosuko kadha wa kadhaa baada ya KUJIUNGA na mashindano yaliyopingwa na mamlaka nyingi za soka Ulaya. For Example , Chelsea Take over, Juventus demise, Manchester City Scandals , Liverpool&Manchester United Sale proposals . Tayari maafisa wa vilabu vya Juventus, Real Madrid na Fc Barcelona wakiongozwa na Rais wa Real Madrid Florentino Perez wameanza Mazungumzo na vilabu takribani 50 ili viweze kujiunga. Kumbuka lengo Mama la michuano hii ni kuongeza vipato ndani ya vilabu shiriki, huku waanzilishi wa michuano hii wao wanaamini timu zinatumia pesa nyingi kwenye sajili lakini hakuna wanachopata kupitia michuano ya UEFA, hivyo wanaamini kupitia European Super League anaweza akawa mkombozi kwa vilabu vingi barani ulaya. Je, Mabadiliko Haya ya THE SUPER LEAGUE yatatengeneza urahisi wa kuanzishwa kwa ligi hii ya Wadau? NB: Kama tumebariki AFRICAN SUPER LEAGUE VIPI TULAANI EUROPEAN SUPER LEAGUE?🤔 [ATTACH type="full"]1185[/ATTACH] [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Biriani la Ulaya
European Super League mbioni kurejea
Top
Bottom